Nakuomba leo moja tulale wote........

Hizi ndoa hizi, hizi ndoa....
hivi hamuwezi kuvituliza vidudu vyenu????
mke kasafiri wiki tu unawaza kufanya akiumwa mwezi je?

Vipi mbona humzungumzii huyo mke malaya anayelazimisha kupewa dushulele lisilo la mume wake?
 
Hii insfanana na yule jamaa aliyekwenda mtafuta mke wa mtu Moro kisa zamani walikuwa wapenzi.

Mke wa mtu akamwambia jamaa mwaka wapili natumia ARV,sasa eti jamaa akalia kwa uchungu

ha ha ha ha ha km sikosei alikuwa Arovera huyo , ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Hizi ndoa hizi, hizi ndoa....
hivi hamuwezi kuvituliza vidudu vyenu????
mke kasafiri wiki tu unawaza kufanya akiumwa mwezi je?

Tatizo ni kwamba hawa watoto wamesahau njia na mbinu za mababu zao...

Hakuna kipya katika dunia hii, sema tu vijana hawataki kunfungua encyclopedia!
 
Nenda uone nakusoma tu kiaina bora ungenyamaza kuliko kuleta huku jf nasema nenda nikuoe na wewe
 
Acha ku-endekeza ujinga, funga milangi yako lala hakuna kwenda kwake na akija kwako usimfungulie
 
ndoa za sahizi ni sawa nakupuliza moto kwenye kuni isiyokauka
 

akuombee nan jiombee wenyewe
 
Unataka watu waafikiane na wewe ili uhalalishe uzinifu wako!
 

Miongoni mwa vifo vingi dar, ni pamoja na vinavyotokana na kuchukuwa wake za watu pamoja na kudhulumu au kuiba mali za watu wengine
 
dah mambo ya kulala kwa mtu mwiko....njemba ikirudi ghafla utafanyaje?experience yangu kwenye mambo ya sex ni kwamba you have arleady made up your mind on what to do,hapa tunakupigia kelele tu
 
Qur'an 17:32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
 
FaizaFoxy aya hio ndio inayoniumiza kila nikiifikiria na sio hio tuuu na hile inayosema mzinifu mwanaume au mwanamke aliokua ameshaowa basi wapige mawe hadi kifa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…