mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Wakuuu habari zenu?
Natumai muwazima wa afya?
Si zamani sana niliweka ukumbini kua mke wa mtu ambaye alikua ni x wangu ananisumbua kwa kutaka tuwe wapenzi na kibaya sote tuko katika ndoa na familia pia mimi niko na watoto 2 yeye anao 4.
Ni muda wa nusu saa uliopita yaani ilikua ni saa mbili kasoro dakika 5 za usiku huu nimepokea simu kwa namba ngeni ikiniomba niilipie kwa kuwa yeye hana salio nilipuuza ila alipiga zaidi ya mara 3 nikaona ngoja nimpigie isijekua ni mame chanje (my wife) kupiga nakutana na sauti ya x wangu baada ya salamu aliniambia hivi "mahiri najua mke wako hayupo hii ni wiki ya tatu hadi leo nimeulizia nikaambiwa hajarudi nakuhitaji usiku wa leo saa 4 uje kwangu na jiandae kulala kwangu unipe kitu nilichokikosa kwa miaka kadhaa nakuomba usinikatalie japo kwa leo tuuu halafu ukiwa hutotaka kuendelea nami nitaheshimu maamuzi yako na kukuacha uishi salama na familia yako"
Ni kweli kabisa wife hayupo na hali hii ya mawingu inanipa shida sana na najua kua nae mume wake ameenda msibani hawezi kurudi kwa wiki hiii.
Akili inaniambia nipashe kiporo hichi ila najua kua nikipasha kiporo kitaniganda.
La zaidi ni kua namuogopa mungu nitamjibu nini siku tukikutana kwa kulala na mke wa mtu najua hata nijifiche vipi mungu ataniona.
Jamani ushauri wenu