Ili mradi usiwe mwoga.
Hahahaaaaa!!!!!!!!! What do you mean i have got talent? DONT BE SO DRAMATIC!!!!!!! Talented walikuwa kina Shaaban Robert, Mloka (Diwani ya Mloka), Malenga Wapya, Kina mza Akhmed alikuwa ana ghai zaidi kuliko kufanya original ushairi pale RTD late 1990's. Those people arethe best! Japo kazi zao ni 30yrs to 50 yrs old ila ni TIMELESS! I liked shaaban robert na nimemsoma sanaa japo my all time favorite was DIWANI YA MLOKA!
The sister is learned Mentor! Chezea O- LEVEL major in LITERATURE!!!!!!!!!!! Mambo ya ze shairi in kingreza! Weeeeeeee!
Calling me talented i cheating before the masses! Shairi mizani imekongoroka, beti zinaning'inia, vina kushney babu j, uzani marehemu siku nyingi! Wakikusikia wenye fani yao huko mbele za haki watarudi ghafla!
Na vijana sio kuhinda kwenye TELEMUNDO, na DSTV all time, siku moja moja exploit your HISTORY and honor your ANCESTORS! Read African Literature. Chinua Achebe was the best for me.
Asnam..balaa hapo imetumika kumaanisha!??Nice one,kip it up hehehehe aliyetungiwa mbona ana balaa
Ili mradi usiwe mwoga.
Kongosho, kujiachia kwenyewe kuko wapi na magonjwa haya nje nje!??He he he, maisha yenewe yako wapi ya kujibana?
Mkiwa mbali teknikale mmekubaliana mechi za mchangani, ila mwenye hati miliki anakuwa huyo ulomchagua. Ukiikubali hii basi mpenz ya mbali yanafaa.
Hata hivyo, kuna ile unamwambia mtu, ukimpiga chura teke umempunguzia mwendo - sosi King'asti
Kabla hajaenda unamdediketi huu wimbo
Kongosho, kujiachia kwenyewe kuko wapi na magonjwa haya nje nje!??
Kujihalalishia mechi za mchangani kupo tu hata kama anaishi next door..wait hata kama mnaamka kitanda kimoja. I've come to learn that as i progressed through the years..it's just a tabia!
And sio kwamba tangu mmefahamiana ni mnaishi mbali 9this wasn't the point of my poem na hakika sikubaliani sana na mahusiano kama hayo)...but here you are Kongosho, with this lady you know for over four years...na kwa muda wa mwaka mmoja atakuwa masomoni. Je, ni tiketi ya kuvunja mahusiano?
King'asti, tafadhali niambie ulimaanisha nini hapo?
Hahahahaha wewe si ndo wajiita PM moderator? Sasa hebu check PM zangu na za lara 1.What the Hell!???????????????????????? Did this just come off your head...Nimeshindwa kuhuzunika maana ukipigwa kibuti kwa tungo murua kama hizi walahi huwezi kujihisi maumivu ya moyo!
lara 1 u got some talent in this hun...ila duh, hadi kwenye shairi bado unawaza pesa! we noma..
Cc: Mtambuzi, Nicas Mtei, Vin Diesel, Asprin, KakaKiiza - nahisi kuna libazazi limoja kati yenu limeniibia hiki kifaa changu.
Wapendwa: mwallu, miss neddy, Munkari, miss chagga, sister, Sista, King'asti, charming lady, Elizabeth Dominic, badiebey - namtafuta mrembo wa kumghania tungo hizi!!!!
Wenu PM Moderator, Mentor.
Ili mradi usiwe mwoga.
Duh.....husahau??
Yaani mi nishapoteza hata idea eti!
Anyways.....
Ntajitahidi, ngoja nirudi kwenye uzi nikausome tena!
He he he he, mwaya huwezi kumwacha ila cha moto mtakiona
Bora mtu anede bali mkiwa mshawowana na watoto mmezaa, ila mpya mpya akienda mbali waweza pata uwehu
Hahahahaha wewe si ndo wajiita PM moderator? Sasa hebu check PM zangu na za lara 1.
Kwenye suala la Intelijensia hata Mike McKee haniwezi. Juzi alikubali mwenyewe.
Duh.....husahau??
Yaani mi nishapoteza hata idea eti!
Anyways.....
Ntajitahidi, ngoja nirudi kwenye uzi nikausome tena!