Nakumbusha tu

Nakumbusha tu

mama angu ananiitaga mchumba na ananisomesha, bila shaka mama atapata anachokitafuta.
 
Mkuu bora ungesema wasichana au mabinti una jua kuwa hata wanaume pia ni wachumba
 
tumeshawazoea mnajisemesha tu apa ila mkiombwa ada mnatoa tena mnaulza ya hostel vp umelipa baby au nitume unajibiwa tuma baby tena kwa hasira mnatumag na yakutolea 😉
 
Back
Top Bottom