Huyo mtoto mweusi anaelekea kuelemewa na uzembe wa wazazi wake. Shingoni cheni la kiasili, dogo juu mkubwa chini miguu yaelekea kukosa nguvu kabisa na wala haonyeshi nia kutaka kujifunza kutembea sijui ndio wamembemenda!!!:confused2::mad2::confused2: