Nakumbuka nilivyofedheheka

Sikujua kama waliokuwa jirani waliweza kusikia au la. Sikuwa tena na sera. Yale yote niliyopangilia kumwambia ikiwa ni pamoja na kupangua hoja zake viliyeyuka. Nilimjibu tu kinyonge kuwa sawa nimemwelewa. Taratibu niligeuza na kuanza kuondoka. Sikumbuki kama nilitazama nyuma.
Nilikuwa nimechoka asubuhi ile. Niliingia bwenini na kujilaza deka ya chini.. Tangu muda huo sikujitambua tena. Sikumbuki kama nililala usingizi au nilizirai, au nilizama tu kwenye mawazo. Nachokumbuka nilikuwa nawaza ile scenario ilivyokuwa. Wapi nilikosea, kwa nini nilikosea, kwa nini sikuwa na subira, alimaanisha kweli? Na kadhalika nyingine.
Khaa! Mkuu mbavu zangu :D:D:D:D
 
Duh! Watu wana kiu utadhani wamelishwa vumbi. Nanyi tungeni zenu basi. Mapovu tu. Stori hapo ndio mwisho, unless nishawishike beyond reasonable doubt kuwa hawa wanaotukana wanakiri makosa yao
 
Ndio uache mizuka ya kutongoza asubuhi kisa abdala kichwa wazi kasimama dede
 
Mkuu endeleza story la sivyo mimi ntaendeleza, na nikiweka zile script za Head Boy alivyokukuta umelala kwenye deka kama Ben Pol, usinilaumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom