Nakumbuka nilivyofedheheka

Nakumbuka nilivyofedheheka

potezea tu hyo story isiendelee... haina mvuto . halafu jifunze kutumia matumiz ya . na , pia uandishi wako , infact una mwandko mbaya na mpangilio mbovu
Hahahaaa... Roho mbaya kama ujumbe ulioandika. Usisome
 
Bro una roho ngumu kwel yan mapovu yoote unayopewa aya bado unaendelea tu na uo ujinga wako? Mbona kutoswa na dem wakat wa kutongoza ni jambo la kawaida kwa mwanaume? Wote tunaotoswa uko wakat wa kutongoza tungekua tunakja kufungua Uzi hapa server c zingekua zimejaa? Be a Man ebu tutolee ujinga wako apa infact huezi mpata dem mkareee kwa swaga za kipumbavu km zako.
 
Infact nimegundua kuna watu wa ajabu sana. Huo ulikuwa ni mwanzo tu na stori yenyewe ilikuwa bado kabisa kuanza. Ndio utamu ulikuwa unaanzia episode inayofuata. Kwa ujinga wa wachache kwa sasa nakomea hapo
 
Kutoswa ni jambo la kawaida lakin mtoso wa kwanza alafu ulikiwa umejipanga inaumaaa..
 
Nyie watoto hebu someni mje kusaidia kuanzisha nchi ya viwanda ebooh
 
Infact nimegundua kuna watu wa ajabu sana. Huo ulikuwa ni mwanzo tu na stori yenyewe ilikuwa bado kabisa kuanza. Ndio utamu ulikuwa unaanzia episode inayofuata. Kwa ujinga wa wachache kwa sasa nakomea hapo
Kwa hiyo unatukomesha[emoji3] [emoji3]
 
Bro una roho ngumu kwel yan mapovu yoote unayopewa aya bado unaendelea tu na uo ujinga wako? Mbona kutoswa na dem wakat wa kutongoza ni jambo la kawaida kwa mwanaume? Wote tunaotoswa uko wakat wa kutongoza tungekua tunakja kufungua Uzi hapa server c zingekua zimejaa? Be a Man ebu tutolee ujinga wako apa infact huezi mpata dem mkareee kwa swaga za kipumbavu km zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo unatukomesha[emoji3] [emoji3]
Labda anataka tumbembeleze aendelee, kama vipi yeye aendelee au asiendelee kwetu poa tuu haituathiri chochote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haya mapenzi kweli ni shida. Nakumbuka kitambo kidogo nikiwa A level sekondari moja ya bweni mkoani kaskazini huko. Ikatokea nilivutiwa sana na head girl. Alikuwa mzuri. Hope bado mzuri.

Asubuhi moja kabla ya assembly nikajivika ujasiri nikasema lazima nimueleze. Nilitoka bwenini na kuzunguka kiasi na haikuwa shida kumuona kwani alikuwa akisimamia usafi eneo fulani. Huku moyo ukinidunda nilimsogelea na kumsalimia. Kiukweli sikuwahi kuwa na mazoea nae wala maongezi nae. Nakumbuka yeye alikuwa kidato cha nne.

Nilisafisha koo nikampa salamu yangu...

Itaendelea.

Mwendelezo uko post ya 19
Nime ku-block
 
Bro una roho ngumu kwel yan mapovu yoote unayopewa aya bado unaendelea tu na uo ujinga wako? Mbona kutoswa na dem wakat wa kutongoza ni jambo la kawaida kwa mwanaume? Wote tunaotoswa uko wakat wa kutongoza tungekua tunakja kufungua Uzi hapa server c zingekua zimejaa? Be a Man ebu tutolee ujinga wako apa infact huezi mpata dem mkareee kwa swaga za kipumbavu km zako.

hahaha we jamaa
yaani mpaka mapovu
si ungekausha tuu
 
Back
Top Bottom