KIKUNGU
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 845
- 587
Ngoja niikariri siku mamarita akianza maswaiba namfungulia kurasa
Mkuu Babarita usisubiri mpaka aanza maswaiba ndio umkumbushe,mkumbushe leo yale mliyo-share kwa raha na tabu.
Ngoja niikariri siku mamarita akianza maswaiba namfungulia kurasa
Asante sana ilumbuye Kaunga for cheering me up,mungu na akubariki sana
Mmh kumbe mapenzi ndivo yalivo, naogopa hata kutia mguu kwenye hiyo institution..,