Nakula bata kwanza, ndoa baadaye: ODAMA

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
ODAMA: Ukiwa ndani ya ndoa utakuwa unabanwabanwa na mwanaume, huwezi kula bata kama
unavyoweza kula ukiwa singo. Kwa hiyo bora nimalizie kabisa nikiingia huko niwe nimeshatosheka.







​
 
who is this creature? where do we find her?
 
Ngoja apigwe apigwe na wenyenazo siku wakimchoka atakumbuka kuolewa.

Saizi sauti za wanaume wakware wamemchanganya.
 
Mzuri ila mh naogopa asijekula mpaka ada ya shule ya wanangu
 
Sjaona uzur wake...wa kawaida saaana!Anyway, 'beauty is in the eyes of the beholder'....
 
Ngoja apigwe apigwe na wenyenazo siku wakimchoka atakumbuka kuolewa.

Saizi sauti za wanaume wakware wamemchanganya.

Kwani hamwogopi Mungu? pia hao watakaompiga kama watamwacha salama si ndo kuolewa kutakuwepo?
 
hana kitu huyo . mi naona mahewa tu .
 
Mbona ka mzee sn,. Hyo kwolewa c itakuwa ataolewa akiwa mzee,.
 
Je wewe wakati ukila bata, unatarajia kumuua nani kwani ninyi wasaniii wa kike nasikia mnakuja na sera ya kutoa watu roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…