Nakukumbusha Waziri Ndalichako kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana. Utaondoka na kukiacha kama wengine walivyokiacha

Mama Ndalichako fikiria upya kuhusu hatua zilizochukuliwa kwa viongozi halali wa serikali ya wanachuo.

Viongozi walikuwa wanatimiza wajibu wao wa kuwatetea waliowachagua,wewe ulitakiwa utumbue waliochelewesha fedha.

Sasa tangu vyuo vifunguliwe kumbe bado kunawanafunzi hamjawapelekez fedha zao wakati makusanyo ni makubwa kiasi cha kuwatisha mabeberu,iweje watoto wa wanyonge wafukuzwe chuo kwa kudai chakula cha chuo? Kwani si walipewa mkopo? Amliwapa mkopo hewa?
 
Simlaumu Mama huyu... Namlaumu BABA YAKE .... KWANI NDIYE ALIYEMTUMA.
 
Hawanaga msimamo japo wanachikitetea Mara nyingi hua ni cha haki.Wanabadilika badilika kama yule pengo au mwanya.
Huyo mama Ndali hana uwezo kabisa wa kuzaliwa zaidi ya kukariri.
Nchi hii tumekosa viongozi wenye vipaji na uwezo wa kuzaliwa . Wengi ni wa kukariri formula za kizungu na mihemko ya watawala wanaowapa ulaji.
Kidogo Kijana Makonda ana kipaji cha kuzaliwa na anajaribu kubuni mambo mapya toka kichwani kwake.

Ndali ameua elimu kama Mungai. Atakua anatumiwa na mabeberu. Amebadilika ghafla na kuwa mwanasiasa wa kutafuta kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu bureeeee, unadhani ni nini tutawaliwe na wenye nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Utatoaje elimu bora bure kwenye nchi maskini? Hii inayotolewa ni bora elimu. Yaani angalau watu wajue kusoma, kuandika na kuhesabu, basi. Elimu ni gharama, na inatolewa bure kwenye mataifa tajiri kama matumizi ya utajiri wao. Eti elimu bure TZ halafu ukashindane na anayesoma Uingereza! Thubutu!
 
Utavuna unachopanda .
Acha kumtisha waziri kibwengo wewe
Hata ungekua wewe ungefukuza,unalia tu kwa sababu hao waliofukuzwa ni chaso mliwachuuza,mkawatumia na sasa hamuwezi kuwasaidia
Awamu hii huwa haitishiwi nyau,ukitishia tu maandamano tunakufukuzia mbali ukahangaike na wazazi wako
 
Ameharibu Sana mfumo wa elimu vyuo vikuu kwa kutowatambua waliosoma zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mikopo hapo imekuwaje vijana wanapunguziwa bila ya kuwa na maelezo yoyote? Na ilihali unasema bajeti imeongezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upumbavu wa viongozi wa serikali watawaona vijana wanaodai haki kama wana-CHADEMA!Mkipewa nafasi mnapaswa kutatua (meeting the challenges) changamoto na wala si kuwa na negativities in each and every thing!Play it cool,morons!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hebu pitia hotuba ya magufuli alipokuwa anaomba kura 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…