Nakukumbusha Waziri Ndalichako kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana. Utaondoka na kukiacha kama wengine walivyokiacha

Mama Ndalichako fikiria upya kuhusu hatua zilizochukuliwa kwa viongozi halali wa serikali ya wanachuo.

Viongozi walikuwa wanatimiza wajibu wao wa kuwatetea waliowachagua,wewe ulitakiwa utumbue waliochelewesha fedha.

Sasa tangu vyuo vifunguliwe kumbe bado kunawanafunzi hamjawapelekez fedha zao wakati makusanyo ni makubwa kiasi cha kuwatisha mabeberu,iweje watoto wa wanyonge wafukuzwe chuo kwa kudai chakula cha chuo? Kwani si walipewa mkopo? Amliwapa mkopo hewa?
 
Simlaumu Mama huyu... Namlaumu BABA YAKE .... KWANI NDIYE ALIYEMTUMA.
 
Huyu mama waislamu wamewahi kuandamana kumtaka ang'oke NECTA kwa kuvurunda, leo anawaletea wanafunzi, watoto wa masikini dharau kisa eti ana mamlaka

Hapa Chini picha za waislamu walipoandamana kupinga madudu ya NECTA.

View attachment 1296300View attachment 1296302View attachment 1296303
Hawanaga msimamo japo wanachikitetea Mara nyingi hua ni cha haki.Wanabadilika badilika kama yule pengo au mwanya.
Huyo mama Ndali hana uwezo kabisa wa kuzaliwa zaidi ya kukariri.
Nchi hii tumekosa viongozi wenye vipaji na uwezo wa kuzaliwa . Wengi ni wa kukariri formula za kizungu na mihemko ya watawala wanaowapa ulaji.
Kidogo Kijana Makonda ana kipaji cha kuzaliwa na anajaribu kubuni mambo mapya toka kichwani kwake.

Ndali ameua elimu kama Mungai. Atakua anatumiwa na mabeberu. Amebadilika ghafla na kuwa mwanasiasa wa kutafuta kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu bureeeee, unadhani ni nini tutawaliwe na wenye nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Utatoaje elimu bora bure kwenye nchi maskini? Hii inayotolewa ni bora elimu. Yaani angalau watu wajue kusoma, kuandika na kuhesabu, basi. Elimu ni gharama, na inatolewa bure kwenye mataifa tajiri kama matumizi ya utajiri wao. Eti elimu bure TZ halafu ukashindane na anayesoma Uingereza! Thubutu!
 
Utavuna unachopanda .
Acha kumtisha waziri kibwengo wewe
Hata ungekua wewe ungefukuza,unalia tu kwa sababu hao waliofukuzwa ni chaso mliwachuuza,mkawatumia na sasa hamuwezi kuwasaidia
Awamu hii huwa haitishiwi nyau,ukitishia tu maandamano tunakufukuzia mbali ukahangaike na wazazi wako
 
Binafsi mwenye mafanikio ya huyu mama toka awe waziri wa elimu ningependa ayeweke hapa jukwaani.

Hakuna kitu ameharibu kama ku dis regard elimu za watu waliosoma zamani. Ithibati aliyoiweka imewaweka pembeni watu wengi waliosoma zamani.

Kuna vyuo zamani vilitoa elimu leo hii elimu haitambuliki, She will soon fce karma for her deeds. Na uzuri anayatenda haya tukikaribia uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameharibu Sana mfumo wa elimu vyuo vikuu kwa kutowatambua waliosoma zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mookiesbad98,
Ngoja nikutajiye:
1. Hakuna Karo STD 1 to Secondary
2. Changamoto ya madawati shuleni imepungua kama siyo kuondolewa kabisa.
3. Changamoto ya madarasa imepungua sana
4. Shule nyingi za zamani zimekarabatiwa
5. Ufaulu mashuleni umeongezeka
6. Mikopo ya wanafunzi wa vyuo imeongezeka mara 100%
7.....
Kwenye mikopo hapo imekuwaje vijana wanapunguziwa bila ya kuwa na maelezo yoyote? Na ilihali unasema bajeti imeongezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upumbavu wa viongozi wa serikali watawaona vijana wanaodai haki kama wana-CHADEMA!Mkipewa nafasi mnapaswa kutatua (meeting the challenges) changamoto na wala si kuwa na negativities in each and every thing!Play it cool,morons!😂😂😂😂😂
 
Acha kumtisha waziri kibwengo wewe
Hata ungekua wewe ungefukuza,unalia tu kwa sababu hao waliofukuzwa ni chaso mliwachuuza,mkawatumia na sasa hamuwezi kuwasaidia
Awamu hii huwa haitishiwi nyau,ukitishia tu maandamano tunakufukuzia mbali ukahangaike na wazazi wako
Hebu pitia hotuba ya magufuli alipokuwa anaomba kura 2015.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom