Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,601
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Mh Albert Chalamila akiwa kwenye kikao cha ndani cha mkoa amesikika akilaani eneo la Cocobeach kuachwa wazi kwa ajili ya wananchi wote kutembelea bure kila wanapohitaji kufanya hivyo.
Chalamila amesema eneo la Cocobeach linahitaji uwekezaji mzito na wa kisasa.
Chalamila namkemea kutokana na wazo lake hilo kwa sababu hajatuambia kama hilo eneo likiwa la kulipia hao wananchi masikini wasio na hela ya kuingia Beach atawapeleka wapi.
Mh Chalamila ajue pia Tanzania ina eneo kubwa la bahari kwa ajili ya kujenga beach za kisasa anazozitaka hivyo siyo lazima ang'ang'anie kwenye eneo la wazi la Cocobeach.