Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,152
- Thread starter
- #361
Si kweli 😎 kuwa makini, usije ukajikuta na kesi ya kubaka.Kukataaa ndio kukukubali kwa mwanamke
Si kweli 😎 kuwa makini, usije ukajikuta na kesi ya kubaka.Kukataaa ndio kukukubali kwa mwanamke
hahaahahahahahaha
Kwamba 😁?Kwa nkapa hatoki ntuu
Hako ka planned ka-chocolate colour kazuri 😍😍Nasikia hayo ni matokeo ya nakuja ila hatufanyi kitu
View attachment 3549482
Kweli, na ka unplanned je?Hako ka planned ka-chocolate colour kazuri 😍😍
Kazuri pia 😍 , according to statistics, kwenye kila watoto 10, basi 4 kati yao ni unplanned.Kweli, na ka unplanned je?
Abdala kichwa wazi akishasimama hakuna cha hatufanyi kitu🤔Kazuri pia, according to statistics, kwenye kila watoto 10, basi 4 kati yao ni unplanned.
Mazao ya "nakuja hatufanyi kitu" ni mengi 😆
Tena mnakuwaga na wenge hatari, mtu anaweza kudhani asipokupa utajifia 😂Abdala kichwa wazi akishasimama hakuna cha hatufanyi kitu🤔
Ni asili yetu tuTena mnakuwaga na wenge hatari, mtu anaweza kudhani asipokupa utajifia 😂
Siyo kwamba mnajiendekeza?Ni asili yetu tu
Hapna mda mwingine ni hali ya mwili tu na mda mwingine ni kujiendekezaSiyo kwamba mnajiendekeza?
Hapna mda mwingine ni hali ya mwili tu na mda mwingine ni kujiendekeza
hahahaha shida hamuelewek mnataka joto au barid
Na bado mpaka mchanganyikiwe 😂 😂 !hahahaha shida hamuelewek mnataka joto au barid
bdo tunafanya tafiti tugundue mnataka nin, ipo siku tutakuja na jibu wanaume.Na bado mpaka mchanganyikiwe !
Endelea kujipa moyo 😂 tafiti ishafeli maana mmekusanya data za kupikwa, jitahidi muanze upya!bdo tunafanya tafiti tugundue mnataka nin, ipo siku tutakuja na jibu wanaume.
Ila bwashee 😁Nasikia hayo ni matokeo ya nakuja ila hatufanyi kitu
View attachment 3549482