Kilahunja
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 1,500
- 344
Ngrrr ngrrr
Sauti: halow hapo makumbusho ya taifa
Ofisi: ndio, nikusaidieje?
Sauti: nlitaka unikumbushe saa yangu iliibiwa jana sasa nlitaka nijue, imeibiwa na nani, na iko wapi ?
Ofisi: mmxeeew pumbaav, sio kaz yetu!
Sauti: haaa, sasa nini kaz yenu?
Ofis: kuifadh kumbukumcu ya vitu vya zamani na vilivochakaa
Sauti: basi saa yangu mtakua nayo nyinyi, maana ilikua ya zaman na iliyochakaa, nakuja hukohuko kuichukua, mbarikiwe!