Nakuhitaji kwenye chart binti

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Hakika huu ni mwaka mpya na mambo mapya! kama ww ni bint ambaye upo tayari kuungana nami katika uzi huu na lengo la kutengeneza urafiki wa kweli bac karibu. Wamefanikiwa wengi humu, kwa nini leo isiwe zamu yetu? JOIN ME.
 
Wamefanikiwa wengi kivipi?

Unatafuta rafiki wa kike ili aje kuwa mchumba hatimaye mke au marafiki tu wa kike...fungukaa
 
Wamefanikiwa wengi kivipi?

Unatafuta rafiki wa kike ili aje kuwa mchumba hatimaye mke au marafiki tu wa kike...fungukaa

Mwenzio anataka 'kuchart' na demu we unamletea mbwembwe. Yani siku hizi unaweza 'kuchart' na mtu baadaye anakuwa mchumbako. LOL
 
Nsivyopenda homework za hisabati? Charting hunipati ng'ooo!
 
Naulizia pembejeo za kilimo hapo Daslama , maduka yake yako Ilala au Buguruni ?
Manaake nimeagizia Nairobi nikaambiwa bei ghali , labda niagizie Kenya .
 
Mwenzio anataka 'kuchart' na demu we unamletea mbwembwe. Yani siku hizi unaweza 'kuchart' na mtu baadaye anakuwa mchumbako. LOL

Ye kasema wamefanikiwa wengi humu...sasa kivipi?

Skamoo babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…