Nakuhamuru mh rais

Nakuhamuru mh rais

Ni kweli isiyo kuwa na chembe kuwa Beno Ndulu ni jipu hasa ambalo raisi akiliacha litaendelea kuvimba na kujitanua, maana kuna madudu mengi sana yamefanyika chini yake, mfano swala la Kimei kufanya ulanguzi wa fedha, huyu Ndulu apasuliwe tu maana haina namna.


Kama Magufuli atasikiliza ushauri wa waziri wa fedha Phillip Mpango na Katibu Mkuu wa Hazina Likwelile hawezi kuchukua hatua dhidi ya gavana wa BOT kwani hao wote wawili ni watu aliowajenga yeye [ wanafunzi wake]!!!
 
Kati ya vitu ambavyo simwelewi dr magufuli ni kumkumbatia gavana beno ndulu unaanza na matawi huku mizizi ya ufisadi nchi ikiwa ni benki kuu nasikitika na utoroshwaji wa fedha nje ya nchi naamin kiasi kikubwa B.O.T wanahusika na kitendo hiki niombe swala hili limulikwe kwa jicho la kulia unaamka asubuhi unashanga mara pesa imeporomoka yaan kiufupi huyu zee kashindwa
Mianya ya ufisadi sakata la escrow limepitia mikononi mwake leo hii magufuli kachukua panga anakata matawi na kuacha mbuyu ukichipua upya
Rais wwtu hili swala lifanyie kazi kabla ya january 5 ili nchi yetu ineemeke na matunda ya rasilimali zilizopo
unamhamuru..............Kiswahili nacho chatupiga chenga,Kizungu tutaweza kweli
 
'Nakuhamuru'...yaani hata kiswahili kimegeuka lugha ya kigeni siku hizi.wtf

Teh teh teeeeeeh
Yani ndio nimemjua huyu ----.
Anajiita Moshi vijijini mpaka nikashangaa.
Moshi hakunaga zoba la hivi.
Sasa leo kwa lafudhi yake nimemmanya.
Mtu unakuwa na mwandiko mbaya mpaka kwenye simu....
 
Back
Top Bottom