Pole sana kijana wangu ila bado nakupa neno, huyo bado ataendelea kuwa babako hadi siku unaingia kaburini.mkuu, mama aliyetoka kujifungua siku kumi na nne kuanza kufanya kazi sio mateso?
Watoto wadogo miaka 9 na dada yangu miaka 12 kufanya vibarua kwa ajiri ya chakula na mahtaji ya shule hayo si mateso.
Nimeuliza swali, amejuaje kama baba yake aliondoka na mwanamke mwingine? Si ajibu tu..Wewe unambishia kwamba hakuondoka na mwanamke mwingine, aliondoka na wewe?
Yaani unamjua baba yake mleta mada, kuliko mleta mada ambaye ni mwanae?
Nimeuliza swali, amejuaje kama baba yake aliondoka na mwanamke mwingine? Si ajibu tu..
Pole sana mkuu. Story yako ni ya upande mmoja, huwezi jua kipi kilitokea nyuma ya pazia kwani muwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Muombe sana Mola akuepusha na roho za visasi.mama yangu tangu aolewe na baba mwaka 1986 hadi leo hawawahi kuzaa na mwanamme mwngn tofauti na baba yangu mimi, na tuko watoto 8 je mama ni singe maza?
AminaWakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Pole sana mkuu. Story yako ni ya upande mmoja, huwezi jua kipi kilitokea nyuma ya pazia kwani muwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Muombe sana Mola akuepusha na roho za visasi.
Shukuru Mungu upo salama.
Huwezi jua kiburi na dharau alizopata toka kwa mama yako hadi kuamua kuondoka, sumu uliyomezeshwa kuhusu baba yako unapaswa kuitema.
Msingi na sekondari wanaume, huwa tunajitahidi sana kulinda legacy ya familia kwa kukaa kimya hata km tunachafuliwa kwa uongo usiokuwa na maana.
Mm nilikuwa km ww lakini nilipokuja kugundua ukweli sahihi, nilienda kuomba msamaha kwa baba yangu.
Dharau niliyoongelea hapa siyo nyodo wala kujibiwa vibaya.Bro, dharau kutoka kwa mwanamke ndio excuse ya kuacha watoto wateseke? I'm trying to understand you lakini ubongo wangu hautaki.
Nikuulize, una watoto?
What a piece of advice❤️❤️Usimchukie bali jitenge naye na maisha aliyokupitisheni liwe funzo bora utakapojaaliwa kupata familia yako
Chuki kama hiyo huzaa kisasi.. Jitajidi uzao wako usirithi visasi
Dharau niliyoongelea hapa siyo nyodo wala kujibiwa vibaya.
Ulishawahi kujiuliza kwa nn watu wanaachana na kila mmoja anaamua kuanza maisha upya kwa namna anayoijua yeye?.
Anyway, mm niliambiwa pia mzee wangu aliniacha nikiwa mdogo, lkn nilipokuja kugundua ukweli halisi ilibidi nikimbie kwa mzee wangu kuomba msamaha.
Wanawake ni mama zetu na tunawapenda sana lkn tuishi nao kwa akili
Mvulana kamwe hawezi kuielewa hii kauli ila ngoja awe mwanaume sasaa ndio atakuja kuelewa kipi ulimaanishaSubiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!
Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi
Kujipatia tu ushaanza kuchukia wapenzi. Na haujawahi jua kwanini Mzee akiondoka nyumbani.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Mkuu umeoa, je una watoto?Mvulana kamwe hawezi kuielewa hii kauli ila ngoja awe mwanaume sasaa ndio atakuja kuelewa kipi ulimaanisha
Binafsi kabla sijaoa (kipindi naishi na wazazi) nilikua upande wa Mama kwenye matukio mengi nikiona kuna kutokuelewana baina ya wazazi wangu japo kuwa ilikua changamoto ndogo ndogo
Ila baada ya kuoa tuu ndo nikaelewa nafasi ya Baba, na kuanzia hapo nilizidisha Mapenzi makubwa mnoo kwa marehem Baba yangu, Mungu amuweke mahala pema
Wanaume tunapitia changamoto kubwa saana kwenye mahusiano ni vilee tuu huwa hatuna muda wa kulalamika lalamika
Kujipatia tu ushaanza kuchukia wapenzi. Na haujawahi jua kwanini Mzee akiondoka nyumbani.
Kaa kwanza na wanawake ndio ujue kwa nini wazazi huwa wanaacha familia zao na kwenda kusiko julikana.
Cha msingi wewe endelea na maisha Yako .. chuki mwachie mama Yako..mpenzi wake na baba Yako.
Sahihi kabisaHizo ni superstition tu, lakini ukweli utabaki kuwa pale pale, if you're an asshole you don't deserve to be a dad. Ndio maana baadhi ya nchi felons hawaruhusiwi kuishi na watoto wao.
Ni kweli mwanaume haamki tu na kukimbia familia au watoto, huwa inawezekana amekutana na mchepuko uliompumbaza, ulevi au kuchanganyikiwa.
Mambo ya wanaume kukimbia mke na watoto huwa sitaki kuamini ni mtu anaamka asubuhi na jioni harudi nyumbani kuna sababu tu.
Mimi siafiki hilo lililotokea ila bado nataka kujua (wewe hujui) sababu ya babako kukimbia ni nini?
Ongea vyedi na mamako akupe picha halisi then njoo hapa.