Ni ukosefu wa akili na upumbavu kuwa na assets halafu ukashindwa kuzitumia,wakati ww ni serikali.Inawezekwna kabisa kuweka marketing strategy ambazo zitawavutia customers kufika sokoni.Kwa MTU ambaye hana ,uelewa inakuwa ngumu kufanya.Mama Samia lazima kichwa chake kifanye kazi.Solo hata lipo ,bagamoyo,kama marketing strategy zikitumika ,watu watakwenda.Kushindwa kufanya hivyo ni uvivu mkubwa wa kufikiri.Hakuna unachoongea hapa ndugu,wawahamishie mara ngapi? Walihamishwa na wakarudi tena na tena yamebakia magofu au wanahamia kwingine kwenye mzunguko nani aje sehemu haina pesa?
Hujui unachoongea kuna soko la machinga lilijengwa hapo Dar ,haoachinga walienda kulitumia?
Narudia ni upumbavu kutumia wanaolipwa mishahara eti ndio maafisa masoko ,watu ambao kwanza ni waoga wa biashara,hawana biashara yoyote na hata wakiwanayo inategemea favour za ajira zao,wakistaafu ni vilio maana hawana maarifa ya pesa wala mbinu za biashara..
Ni hivi ukitaka kujenga soko Jenga sehemu ambayo wafanyabiashara wenyewe wamependekeza na Kwa utaratibu utakaowekwa na wao..
Narudia tena masoko yote ya serikali yako tupu na yamejifia on top of that kuna mastendi ya mabilioni pia eti serikali inajenga gesti kaulize sasa kama hizo gesti zinafanya biashara..Huu ni upumbavu na Serikali ikome kutumia pesa za walipa kodi kufanya mamiradi yasiyo na maana.
Bora mama kaliona hilo,huu ujinga ulishamiri Sana awamu ya 5 huku mwendazake akifurahia kuzindua baada ya hapo yanabaki empty na useless na pesa imepotea.
Hata Musukuma mbunge aliwahi kuzungumzia huu upumbavu.