kaka kwani sms ya dr slaa ilisemaje? ilisema police waue au? au nchimbi yeye anasema ilisemaje?
Kunapicha zingine mwisho wake mbaya!!We acha tu!
Walikuwa wanamfurahisha mwenyekiti wa ccmhivi kwann polisi watake kumuua huyu mwandish wa habari? je ni stail kama ya ulimboka ama kuna nini hapo? mbona kila nikiwaza sion kama napata jibu la what was behind the scene hadi wamlipue kwa bomu?
MWENYEKITI WA ccm DR Jakaya Mrisho kikwete alitaka huyu mwandishi afe? kabla ya kuwa mwandish wa channel 10 aliwah kufanya kazi gani nyingine? na je ni polis walimfwata ama yeye ndo aliwafwata polis?Walikuwa wanamfurahisha mwenyekiti wa ccm
hivi kwann polisi watake kumuua huyu mwandish wa habari? je ni stail kama ya ulimboka ama kuna nini hapo? mbona kila nikiwaza sion kama napata jibu la what was behind the scene hadi wamlipue kwa bomu?
Hata ulimboka alijipiga mwenyewe ha! Ha! Ha! Ha!Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.
Hata ulimboka alijipiga mwenyewe ha! Ha! Ha! Ha!
Mnyika hana jipya, anarukia hoja tu.
Tunamwachia Zitto aje kumjibu.
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.
Na Yule mwenyekiti wa CDM ArumeruUlimboka tu na Ali wa Morogoro umesahau.