Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
umeona eenh, wengine wamesumbukaje kwenye hii safari ,lazima mimacho iwatoke, kweli alichounganisha Mungu wafitini washafeli
hata me nimewaona mpenzi lakini ntatumia uvumilivu wa mama, kuwaepuka
nimekuelewa mpenzi, namkalia mbali
Busara na maneno yako yenye hekima yana nifanya nikuthamini
mzima kabisa hofu kwako uliyechumbiwa (oooh mammah)
its lyftime promise, u wont regret
hunishindi mimi ma love
sie hatushindani tunaongozwa na mama yetu mpenzi
c utuwache tupumuwe jamani, hata mwenyekiti hajarudi mshaanza