Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Sasa hii weekend utakuwa na huyo suga mama kufanya nini?au anakufundisha toition?
Mwayego usiende mdogo wangu huyo anataka kukuwahishia majukumu,mchezo wa kibaba wala hata sio mzuri kwani we unataka kuwa baba sa hivi?Kaa zako tu nyumbani na dog wako basi ule maisha huyo sukarimama mpotezee tu.Atai anataka nifundishe mchezo wa kibaba .. Kwani ni mchezo gani uo kaka?
kyanaKyoMuhaya unatabasamu zuri ebu soge uni kiss
Enhee hapa nimekukamata mwenyewe unamwambia kyanaKyoMuhaya afanyeje??????au na ye amekuanza mwenyewe kama suprise?
Toba, unatongozwa na wewe unatongoza. Surprise kuja huku.
yaaani we acha tu kupenda huku kusikie tu kwa mwenzio kusikukute.Blue G, mshangao wako kama wangu, in real life unayempenda naye anaangaika. Looooohhhhhh!!!!!
Duuh, speechless
nimefuta kauli,