Nakodisha na kuuza majukwaa ya kujengea au scaffolds

aidandaona61

New Member
Aug 28, 2015
1
1
Nakodisha na kuuza majukwaa ya kujengea au scaffolds.Mafundi wa kufunga na kufungua scaffolds wenye ujuzi wapo.Kwa mawasialiano piga simu namba 0769803848 au 0714044310
 
Mkuu me nahitaji kufanya biashara ya kukodisha hivi vifaa. Naomba kujua bei ya seti nzima na chochote unachoweza kunishauri kuhusiana na biashara hii.
 
Nakodisha na kuuza majukwaa ya kujengea au scaffolds.Mafundi wa kufunga na kufungua scaffolds wenye ujuzi wapo.Kwa mawasialiano piga simu namba 0769803848 au 0714044310
natamani kuona picha zake yakoje
 
Back
Top Bottom