Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Habari zenu wapendwa, Mimi naishi Dar-Kinondoni,,nina Desktop zangu used kama nane hivi, natamani kuzikodisha kwa mtu yeyote mwaminifu mwenye nia ya kufungua Training Centre hapa mjini..Naweza kujua faida na hasara ya kukodisha Desktop..? Mawazo yenu ni ya muhimu sana kwangu tafadhali..