moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Big up mkuu..Nakiri kabisa mwaka uliopita nilifanya uamuzi wa kuoa baada ya kudumu katika mahusiao kwa muda wa miaka 3.
Ahsante sana mkuu, kesho naazimisha miezi 2 ya Ndoa yangu.Big up mkuu..
Baada ya muda kupita kama 2 years hivi tupe kamrejesho mkuu kama hali itakuwa hivyo hivyo, tupate motivationAhsante sana mkuu, kesho naazimisha miezi 2 ya Ndoa yangu.
Mke yupo njiani kutoka mkoani kuja home leo hii, Ndoa ni raha kama bado karibu sana chamani
Kwaiyo ulikuwa unanidanganya kumbe eti sina mtu.Nakiri kabisa mwaka uliopita nilifanya uamuzi wa kuoa baada ya kudumu katika mahusiao kwa muda wa miaka 3.
Ndoa miez miwili tu mkeo tayr ana safari ..umeliwa ww kaenda kwa x wake😂😂Ahsante sana mkuu, kesho naazimisha miezi 2 ya Ndoa yangu.
Mke yupo njiani kutoka mkoani kuja home leo hii, Ndoa ni raha kama bado karibu sana chamani
Nakiri kabisa mwaka uliopita nilifanya uamuzi wa kuoa baada ya kudumu katika mahusiao kwa muda wa miaka 3.
Uligongwa sindano ngapi na manesi?2016 niliambukizwa huo ugonjwa, japokuwa niliwahi kupata tiba lkn aise ndo ikawa mara yangu ya mwisho kula tunda kimasihara
Nakiri kabisa mwaka uliopita nilifanya uamuzi wa kuoa baada ya kudumu katika mahusiao kwa muda wa miaka 3.
Ukaoa kimya kimya.. Bila kushirikisha kamati ya popoz..Ahsante sana mkuu, kesho naazimisha miezi 2 ya Ndoa yangu.
Mke yupo njiani kutoka mkoani kuja home leo hii, Ndoa ni raha kama bado karibu sana chamani