abbas-hassan
Member
- Nov 21, 2013
- 11
- 15
lara 1 unaufahamu wimbo mmoja sikumbuki jina la kwaya ila wanasemaMmmmmmmmh! *Covers face from shame!*
Huyo dawa yake wala si kukibia na kumuachia jiji ajitanue! Dawa yake ndogo sanaaa! We tafuta nyumba ndogo hapo hapo jirani utiize ule usemi ULIKIONA CHA NINI, WENZIO WASEMA WATAKIPATA LINI? Atanyooka kama nguo mbichi iliyopigwa pasi!
I realy do feel mercy for the kids! Wataisoma namba, chezea baba wa kambo na mama wa kambo!