kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 682
- 1,289
Hilo natambua ndugu yangu.Uchukie, upende utakufa tu
Kwa maana hiyo dunia haina mwisho amaإِنَّكَ مَيِّتٌ وَإِنَّهُم مَّيِّتُونَ ﴿٣٠﴾
30. Hakika wewe (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) utakufa nao pia watakufa.
Kila sekunde inayokatika ndio unazidi kukikaribia kifo chako mkuu hakuna atakaeishi milele kweny hii dunia.
Asee na kinatisha kweli kweli.Hakijali hilo boss.
https://youtu.be/0Z1J761wEWM?si=aq3XQjpKNODEvcwEMimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo
Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi bahatika kuwa nae akibobea kwenye masuala ya magonjwa ya moyo na taasisi yake ya Tanzania Heart Insitute hadi pale ilipokumbwa na gharika ikafungwa mwaka 2012.
Alikuwa na maono makubwa sana sema ndio hivo wakati mwingine unaweza kuwa na maono makubwa sehemu isiyo sahihi nadhani msongo wa mawazo ulipelekea nae akafarika mwaka 2013.
Vijana wa juzi ndio wanaweza wasijue sana habari zake huyu Dkt.Masau alikuwa bingwa kweli kweli kabla hata ya akina Janabi wanaovuma leo kwenye masuala ya moyo.
Wakati nikikumbuka ule uzi wa tanzia ya kifo cha dkt.ferdinand nikagundua hayati Ndugulile nae aliumizwa sana na kifo kile sema kifo kilivo nae leo hatupo nae kaenda kuungana na dkt. Masau.
Wana mageuzi wengi hawaishi sana sijui kwanini huwa naumia sana.
Hapa chini naambatanisha salamu za pole alizozitoa Dkt.Ndugulile wakati ule 2013 kufuatia kifo cha Dkt Ferdinand Masau.
Nimelia sana leo, Dkt.Masau hakuwahi kuwa ndugu yangu ila nimemkumbuka na kama kuna yeyote alihusika kwenye njama za kumvuruga kisaikolojia Dkt.Masau laana iwatafune hadi kizazi cha nne.
WATU WAZURI
Death is the one certainty that unites both the rich and the poor, a shared destiny we all know will inevitably come.Mimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo
Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi bahatika kuwa nae akibobea kwenye masuala ya magonjwa ya moyo na taasisi yake ya Tanzania Heart Insitute hadi pale ilipokumbwa na gharika ikafungwa mwaka 2012.
Alikuwa na maono makubwa sana sema ndio hivo wakati mwingine unaweza kuwa na maono makubwa sehemu isiyo sahihi nadhani msongo wa mawazo ulipelekea nae akafarika mwaka 2013.
Vijana wa juzi ndio wanaweza wasijue sana habari zake huyu Dkt.Masau alikuwa bingwa kweli kweli kabla hata ya akina Janabi wanaovuma leo kwenye masuala ya moyo.
Wakati nikikumbuka ule uzi wa tanzia ya kifo cha dkt.ferdinand nikagundua hayati Ndugulile nae aliumizwa sana na kifo kile sema kifo kilivo nae leo hatupo nae kaenda kuungana na dkt. Masau.
Wana mageuzi wengi hawaishi sana sijui kwanini huwa naumia sana.
Hapa chini naambatanisha salamu za pole alizozitoa Dkt.Ndugulile wakati ule 2013 kufuatia kifo cha Dkt Ferdinand Masau.
Nimelia sana leo, Dkt.Masau hakuwahi kuwa ndugu yangu ila nimemkumbuka na kama kuna yeyote alihusika kwenye njama za kumvuruga kisaikolojia Dkt.Masau laana iwatafune hadi kizazi cha nne.
WATU WAZURI HAWADUMU
Wewe ndio mtotoUzi wa kitoto huu. Kama unakichukia kifo sisi tufanyeje? Tumepoteza wengi zaidi tena wa karibu ila hatulalamiki maana ndio nature
Ni kweli sikupingi ila haiondoi uhalisia wa kuwa nakichukia kifoSiku ukifa wala hutoogopa wala kuchukia
Well Said Sir.Death is the one certainty that unites both the rich and the poor, a shared destiny we all know will inevitably come.
Bila kifo usingeweza kuwapo hapa wewe.Mimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo
Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi bahatika kuwa nae akibobea kwenye masuala ya magonjwa ya moyo na taasisi yake ya Tanzania Heart Insitute hadi pale ilipokumbwa na gharika ikafungwa mwaka 2012.
Alikuwa na maono makubwa sana sema ndio hivo wakati mwingine unaweza kuwa na maono makubwa sehemu isiyo sahihi nadhani msongo wa mawazo ulipelekea nae akafarika mwaka 2013.
Vijana wa juzi ndio wanaweza wasijue sana habari zake huyu Dkt.Masau alikuwa bingwa kweli kweli kabla hata ya akina Janabi wanaovuma leo kwenye masuala ya moyo.
Wakati nikikumbuka ule uzi wa tanzia ya kifo cha dkt.ferdinand nikagundua hayati Ndugulile nae aliumizwa sana na kifo kile sema kifo kilivo nae leo hatupo nae kaenda kuungana na dkt. Masau.
Wana mageuzi wengi hawaishi sana sijui kwanini huwa naumia sana.
Hapa chini naambatanisha salamu za pole alizozitoa Dkt.Ndugulile wakati ule 2013 kufuatia kifo cha Dkt Ferdinand Masau.
Nimelia sana leo, Dkt.Masau hakuwahi kuwa ndugu yangu ila nimemkumbuka na kama kuna yeyote alihusika kwenye njama za kumvuruga kisaikolojia Dkt.Masau laana iwatafune hadi kizazi cha nne.
WATU WAZURI HAWADUMU
Kwanini unasema hivo mkuukifo kikisimamishwa mwaka mmoja TU ,dunia haitakuwa mahali salama.
😄Hii last verse imenifikirisha sana mkuuBila kifo usingeweza kuwapo hapa wewe.
Kifo ni njia ya ku recycle matter ili watu wengi waishi.
Kusingekuwapo kifo wewe usingezaliwa kwa sababu dunia ingekuwa imejaa wahenga ambao hawafi.