ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #41
Kumbe wana hisa humu?
Kwanza hao founders/jf admins wanachotaka ni pesa kwa hiyo wanahitaji watu wengi wajiunge(pamoja na kufata sheria), hawa "vikongwe" wa jf wanatujia na falsafa zao za "jf yetu ya zamani".
..Usipokubali changamoto za mawazo tofauti, whether mazuri au mabaya wewe ndo unaonekana kufikiri kwako kuna matatizo.
Kunani bestito, mbona waniangalia tu bila kuweka neno la kunifunza??halafu wewe eeee nakuangalia tu
mkiambiwa mnakuwa mbogo ni lazima tuwaseme kwani mnakera sana watu
unatafuta umaarufu kuipitia id za wengine lazima tuwaseme mmezidi hamjui tumetoka wapi na jf yetu hvyo lazima penye kusema tunasema ukweli
Kunani bestito, mbona waniangalia tu bila kuweka neno la kunifunza??
jf yenu maanake nini?
sorry unataka nisemeje? hebu nikerebishe maana mm kiswahili nimekuja kujifunza hapa tanzania
Utasemaje jf ya kwenu? We ndo founder? Au una hisa? Kama yote hayo ni hapana basi hata sisi ni ya kwetu
Wageni wana fujo....tumewaharibia jeiefu yao. Hujaelewa tu?
utamtambuaje kuwa hyo ama yule n mgeni
colonial hangover!!! mmetoka mbali na id zenu !!!!, wekeni majina yenu halisi basi kama mnataka heshima bahati nzuri watu wanawajua vizuri kwa jinsi mnavyojitangaza mkipost kitu jukwaani !!! siku ya siku mkijaanikwa mnapiga kelele . kumbuka "Hakuna dhambi mbaya kama kujifanya kuwa una akili kuliko watu wengine" - dr. kitila. m , oooh sisi wakongwe , jf yetu..badala ya kutanua mtandao wa marafiki nyie mnajibanza kama kitabaka cha juu...yaaaaani ni ujinga ujinga ujinga .kweliii.. NAKEREKA NA WATU HAWA!!!
shikamoo mama romantic eyes... mwanao hajambo kabisa..
Utasemaje jf ya kwenu? We ndo founder? Au una hisa? Kama yote hayo ni hapana basi hata sisi ni ya kwetu
...unatumia kinywaji gani besti??
sorry unataka nisemeje? hebu nikerebishe maana mm kiswahili nimekuja kujifunza hapa tanzania
Marhabaaa.....mwambie aje amsalimie baba yake...
Kunani bestito, mbona waniangalia tu bila kuweka neno la kunifunza??