Nakereka na watu hawa!!!!


Aaah mkubwa huwa hakosei bhana...hata wakiraribu wao si ndio wenye jeiefu yao bhana???
 
Aaah mkubwa huwa hakosei bhana...hata wakiraribu wao si ndio wenye jeiefu yao bhana???

Kumbe wana hisa humu?
Kwanza hao founders/jf admins wanachotaka ni pesa kwa hiyo wanahitaji watu wengi wajiunge(pamoja na kufata sheria), hawa "vikongwe" wa jf wanatujia na falsafa zao za "jf yetu ya zamani".
..Usipokubali changamoto za mawazo tofauti, whether mazuri au mabaya wewe ndo unaonekana kufikiri kwako kuna matatizo.
 

wanatafuta umaarufu lakini sidhani kama ni kwa style hii

mtoa mada mwenyewe namwona mgeni mimi... sijui alikuwa tungi wakati anaandika au akikuwa mzima?

mambo mengine ni ya kujitafutia uadui tu na watu humu ndani bila sababu ya msingi..
 
Kipindi nikiwa mgeni kabisa JF, kuna mtu nilicritisize mawazo yake.alichokifanya aliangalia muda wangu wa kujiunga JF, akanijibu mtu mwenyewe kumbe mgeni humu? Nilishangaa sana ukiangalia mada yenyewe ilikuwa inahusu jamii labda ingehusu sheria za JF ningekubali kuwa pengine mi sizifahamu. Eti mtu hakuruhusu u critisize mawazo yake kisa ye Kongwe!!! Nilicheka sana nkamuuliza ni wapi nimekosea? Kama hoja ni dhaifu basi ipinge kwa hoja, sikumbuki hata alikimbilia wapi.
 
Mbona hujawataja kwa id zao, au hao uliowataja ndo wanakukera. Hapa Jf watu wanapata umaarufu kwa kuwa-mention tu majina hakuna lolote.
Kibandiko kidogo tu ooh mara Cc ....
Samahani kama nimekuudhi.
 
Sijaelewa kabisa hebu ngoja nipitie comments may be naweza pata kitu
 
aiseee kuna watu sijui wanawadudu gani,jf jf kwani hapa si forum tu you share whatever,dont act superior for nonsense,hakuna cha wakongwe wala bibi zao KUNA MEMBERS TU ..
 
best wale watu wanaoharibu id za wengine kwa kuwaekea uzi mbovu
na kuwaponda thread zao wananikera sana
Sijaelewa kabisa hebu ngoja nipitie comments may be naweza pata kitu
 
asante bestito ila wanakera best hawa kwanini wanafanya h ivyo wale waliojiunga 2006 tungekuwa tunawasema vibaya sisi si nao wangekereka kama siye

best wanakera sana ila asante kwa ushauri wako umenijenga
 
mkiambiwa mnakuwa mbogo ni lazima tuwaseme kwani mnakera sana watu
unatafuta umaarufu kuipitia id za wengine lazima tuwaseme mmezidi hamjui tumetoka wapi na jf yetu hvyo lazima penye kusema tunasema ukweli
 
mhm penye kusema tutasema na penye kujenga tutajenga na penye kuelimisha tutaelimisha hata kama mtu atatoa lugha chafu ujumbe umemfikia best
Becoming a great thinker is not easy! Sometimes unaweza kuambulia matusi kwa kuwa tu mtu hajaipenda post yako au uko tofauti na kile anachokiamini
 
ni kweli daddy lakini ujumbe ushawafikia ndo maana wanaongea sana
Watumie PM kama wanakukera...

Quoting our names to ya 'mchapo' thread won't help nothing...
 
ujaniudhi na wala usijali mkuu ni moja ya changamoto za jf
Mbona hujawataja kwa id zao, au hao uliowataja ndo wanakukera. Hapa Jf watu wanapata umaarufu kwa kuwa-mention tu majina hakuna lolote.
Kibandiko kidogo tu ooh mara Cc ....
Samahani kama nimekuudhi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…