Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 940
- 1,123
Hii mitandao inaharibu Sana watu. Hasa sisi wanaume.
Leo wakati fulani napitia blogs na YouTubers jamaa mmoja anaelezea kwanini uume mdogo na namna ya kufanya uwe kama muhogo.
Nikichoelewa ni kwamba wanatuharibu Sana kisaikolojia. Sio kweli kwamba inch 4 ni kibamia. Nakataa Kwa sababu na Mimi napimaga wakati fulan naona inachezea kuanzia 4 na ikiwa 5 hadi 6 ni pale ninapokula virutubisho na kufanya mazoezi.
Lakini Hawa jamaa Wanadanganya Sana Wanaume tunadanganywa Ili hali tuna nguvu na tunakila afya kuendelea kufaidi punyenye. Hawa YouTuber wanafanya biashara ilinl u subscribe wapate pesa.
Mimi uume ukiwa around 4 Hadi 5 nakuwa na challenge zangu nazijua, Kwa mfano nakuwa na uume wa urefu wa 4 au 5 nikiwa na stress, sifanyi mazoezi, sili chakula Bora nk.
Lakini pia uvaaji wa boxer nk. Haya Mambo hupunguza nguvu ya ukuaji wa uume na kupanuka.
Sometimes uume unakuwa mwembamba lkn mrefu na wakati mwingine unakuwa mnene wa kawaida nikifanya mazoezi nanikila vzr. Pia psychology yangu ikiwa 80% katika mood. Na tendo nainjoi vzr tu.
Hawa matabibu wa mitandaoni kuweni makini nao Sana Tena Sana. Wengine nikiwasikiliza nawaona wako obsessed tu na ngono.
Wengi wetu hatuna tatizo zaidi ya kuwa na wasiwasi.
Sasa nini chakufanya.
1. Hakikisha unafanya mazoezi. Jenga tabia ya hata kuruka kamba, Mazoezi zaidi chini ya eneo la tumbo kushuka chini .
2. Kula Milo kamili, achana saaana na wali na ugali Sonia, changanya, matunda,mboga mboga, nyama samaki maziwa, kula mara 5 Kwa Siku. Kwa mfano.
Saa 1 asubuhi Break fast just a Hot drink, usile asubuhi kunywa chai, kawaha nk.
Saa nne kunywa vizuri, au maziwa, supu, chapati kias, usikose mboga mboga, kias tu.
Saa Saba mchana pata lunch sio saa tisa.
Saa kumi,pata beverage kiasi, tafuna mahind karang nk. Chai ya saa kumi Ile.
Mliizia dinner. Saa kumi na Mbili hivi. Usile usiku mkubwa. Iwe umechekewi Sana saa mbili. Na ikiwa ni usiku kula kitu Laini. Chepesi