Ni masister wakikatoliki walioweza kumshinda adui shetani katika kuzikabili tamaa za mwili,wengi tuliochagua upande wa kuujaza ulimwengu kwa asilimia mia moja naamini hakuna hata mmoja aliyeweza kudumu na mme mmoja.
Naamini katika harakati za maisha lazima aliwahi kukutana kimapenzi na mwanaume tofauti na huyo aliyenaye sasa hivi
Naamini katika harakati za maisha lazima aliwahi kukutana kimapenzi na mwanaume tofauti na huyo aliyenaye sasa hivi