nakata rufaa kupinga matokeo


Nakuasa usikie, usemaji ni karama,
Maneno usirukie, sema mambo kwa kupima,
Utamkapo ujue, neno halirudi nyuma,
Ukosapo neno jema, kheri ujinyamazie.

Kheri ujinyamazie, ovu huleta khasama,
Majuto yasikujia, “Laiti nisingesema”,
Mtu baa azuae, Motowe utamchoma,
Ukosapo neno jema, kheri ujinyamazie.
 
C6 kama vipi anzisha maandamano ya kupinga matokeo siku ya Ijumaa. Nimesikia siku ya Ijumaa imeteuliwa kuwa siku ya maandamano.
 
Last edited by a moderator:
we mathematics wewe hebu mtake radhi my huz. . . ye hajasema kuwa anataka kuandamana bali anataka kukata rufaa!!!!!
sababu rufaa hakuna dalili ya kusikilizwa wala kushinda, so bora aandae maandamano mapema. si utamuunga mkono kuandamana au unaogopa kuandamana na kutupiwa vitu vyenye ncha kali?
 

Yesu na maria! mbona wanishushua ati!?. mia
 
sababu rufaa hakuna dalili ya kusikilizwa wala kushinda, so bora aandae maandamano mapema. si utamuunga mkono kuandamana au unaogopa kuandamana na kutupiwa vitu vyenye ncha kali?

maandamano ni soo mkuu,hapo vitu vyenye ncha kali havitacheza mbali kha!!!!
 
Ciello!!!! CIELLO!!! CIELLO!!! CIELLO!!!!!! CIELLO!!!! CIELLO!!!!!! UMETISHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! (freedom of speech!!!!)
 
Last edited by a moderator:
C6 jinyonge kama hukubali matokeo,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…