mi simuamini Ruhazwe JR, nakata rufaa ya matokeo ya ms. chitchat. charminglady alistahili kutwaa taji ila bwana Lundenga kwa maslahi yake binafsi kaamua kumpa mtu mwingine,
iundwe tume kuchunguza hili, pia napeleka barua kwa mwanasheria wetu
Huyu pilato ni balaa, kanyundo kanagongwa na tabasam juu
mi simuamini Ruhazwe JR, nakata rufaa ya matokeo ya ms. chitchat. charminglady alistahili kutwaa taji ila bwana Lundenga kwa maslahi yake binafsi kaamua kumpa mtu mwingine,
iundwe tume kuchunguza hili, pia napeleka barua kwa mwanasheria wetu
asante mheshimiwa hakimu, tutatoa ushirikiano!
Suala lako limefika baraza kuu la sheria la mashindano ya miss chit chat ,andaa ushahidi wako na lawyer wako ,nikiwa kama mdhamini wa miss chitchat sihitaji kampuni yetu ipate doa lolote,
Nawasubiria mlete vielelezo. Kuna walalamikaji wangapi?
mi nna tatizo na muandaaji wa hili shindano, naandaa ushahidi, soon ntawakilisha hapa
mimi ni maoni tofauti yuu ya uboreshwaji wa shindao la miss chit chat.
Kwanza baada ya wagombea kupendekezwa inabidi kila hatua iundwe Poll Box pale juu ya uzi kabisa ili mtu avote kwa mtu anayemtaka kisha baada ya hapo ndiyo aanza longolongo katika post za chini.
Hii itasaidia kila mshiriki kuona kura zake kirahisi badala ya kuzitafuta chini na kumfanya akeshe kuhakikisha hazichakachuliwi!!
Hii inaweza kuanza kutumika kuanzia nuu fainali ambapo kila mshiriki hugakiwa kuvote kwa mtu mmoja tu.
Kampeni hazina shida sana maana itakuwa ni humasisha watu wafungue uzi waje kuvote na jina la mtu aliyevote linatambuliwa na system.