Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Ndugu wana jfm naombaa msaada wakujua hili dude linatumikaje kwenye masuala ya nguvu za kiumee kwa anaejua tafadhal natanguliza shukranii
Screenshot_20211129-225603_1.jpg
 
Ndugu wana jfm naombaa msaada wakujua hili dude linatumikaje kwenye masuala ya nguvu za kiumee kwa anaejua tafadhal natanguliza shukraniiView attachment 2027687
Sijui kama linatumika kwenye kuongeza nguvu za kiume ila najua ni dawa ya kienyeji ya kuongeza damu ( ndivyo nilivyoona wakitumia nyumban)
Pia nasikia linatumika kuongeza ukubwa wa uume likiwa bado halija vunwa (yan likiwa bado kwenye mti ninakuwa )
 
Nini tiba ya kudumu ya kuchubuka mdomo?? Hili tatizo limenianza toka mtoto had leo hii( lina zaidi ya miaka 20) na mara nyingi hutokea kwa kasi pale ninapo badiri mazingira, ninapo jihisi kuumwa
 
Sijui kama linatumika kwenye kuongeza nguvu za kiume ila najua ni dawa ya kienyeji ya kuongeza damu ( ndivyo nilivyoona wakitumia nyumban)
Pia nasikia linatumika kuongeza ukubwa wa uume likiwa bado halija vunwa (yan likiwa bado kwenye mti ninakuwa )
Na huo ukubwa linaongeza kwa namna gani kula au kuchemshaaa
 
Yan sijaelewa linatumikaje kukuzaa uume
Unapanda juu ya mti unapima uume na hilo tunda (lazma vilingane kwanza) then unachanja uume na hilo tunda alafu usikilizia sasa kadri linavyozidi kukua ndivyo na ww uume unavyozid kuongezeka ikifikia kipimo unachotaka unaenda kulikata ili uume usiongezeke zaidi (kumbuka kuliwekea alama ili usije lisahau)

Hvyo ndivyo niliambiwa. Ila ss tulikuwa tunalitumia kwaajiri ya kuongeza damu tu
 
Unapanda juu ya mti unapima uume na hilo tunda (lazma vilingane kwanza) then unachanja uume na hilo tunda alafu usikilizia sasa kadri linavyozidi kukua ndivyo na ww uume unavyozid kuongezeka ikifikia kipimo unachotaka unaenda kulikata ili uume usiongezeke zaidi (kumbuka kuliwekea alama ili usije lisahau)

Hvyo ndivyo niliambiwa. Ila ss tulikuwa tunalitumia kwaajiri ya kuongeza damu tu
Mhh atar kwelii na unakua sasa
 
Usipite bila ya kusema chochote kama umetumia hii dawa.

NB: DOSE NI CHUPA 1 BEI 20000TSH
TUNAKUFIKISHIA NDANI YA DAR-ES- SALAAM BURE

Poleni sana mnaoteseka na kudhalilika kitandani
Sema neno kwa nini unasababu za kutumia
#halbat_taumu

Kuna sababu million 1 za kutumia #HALBAT_TAUMU

Mke "Anifikishi kileleni mara akipiga moja imelala mara haisimami vizuri"

Ona Aibu pesa tarehe yake tendo

Ukifanikiwa kunywa chupa 1 ya halbat taumu ndani ya 1 week itakupa matokeo mazuri kabisa kama utakunywa dose 2 yaani chupa 2 utamaliza tatizo kabisa naomba nikusaidie kwa kukupatia product yangu ya halbat taumu

TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Awali natoa pole kwa wote wenye shida hii. Pia wanapa faraja na ufumbuzi wa tatizo hili kupitia product zangu za Asilia kabisa kwa kutibu hii shida..
1.kuwahi kufika kileleni
2.kushindwa kurudia tendo la ndoa
3.misuli kusimama lege lege
4.kutopata manii yakutosha
5.kutokuwa na uwezo wa kumpa mimba mwanamke

dawa no #Halbattaumu toka ofisi zetu zilizo Mkunguni,Manzese.Dar no. sale &suppy +255684-765575

kalibuni wote tunywe kwa AFYA YA UZAZI NA KIUME

HALBAT TAUMU kwa Afya & kinga

FURAHIA USIKU WAKO NA #HALBAT_TAUMU

Mkubwa wa ulingo ni HALBAT TAUMU
Tokomeza tatizo la Nguvu za kiume rudisha heshima kitandani jenga urafiki na HALBAT TAUMU ufurahie tendo la ndoa.

RUDISHA TABASAM LAKO SASA ACHA KUJIOGOPA
BEI 20000TSH
Inapatikana Manzese Mkunguni no. 0684765575
img_1637871431006_1.jpg
 
Abari Dr...kuna miaka kama kumi imepita nilienda kunyoa nywele sehem baada ya hapo nkaanza kupata viupele kichwan yaan vinakuwa na majimaji iv vinakauka alafu vinarudi ...mpaka sasa bado vinasumbua afu cha kushangaza vinatokea sehem fulan mfano sehem za mbele za kichwa sehem nyingne havipo kabsa..je nitumie dawa gani... Ahsante
Rwekaxa mambo vipi, ulipata tiba juu suala lako, kama ndio tafadhali naomba tuwasilianae.ninatatizo kama Hilo, na nimehangaika mno kupata tiba nimependa hospitali zote, na hata kutumia ma Dr WA India na USA,lakini sijapona, 0713 33 6998.
 
Nini tiba ya kidney cyst, nimepimwa na wamegundua kuwa nina kidney cyst kwenye figo ya kushoto( 2.9cmx2.5xm).Wakati mwingine nasikia maumivu makali.
Nitashukuru.
 
Wakuu naomben msaada kama kuna anayejua tiba ya ugonjwa wa ngozi kuwasha na kutengeneza mabaka mwilini kama unavoonekana kwenye picha hapo. Ni mwezi sasa, nmeenda kmhospital na kupata vipimo nkaambiwa mchafuko wa dam na kuoewa dawa ambazo hazijanisaidia mpaka sasa.
JPEG_20220201_175434_5679328180062154254.jpg
 
Doctor
Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa ,akienda hospitali wanamwambia NI UTI anapewa dawa za uti ule ute ute unaacha kutoka ,lakin sasa wakati wa tendo uchi wake unakuwa mkavu hata umuandae vipi ute ute wa kuashiria yupo tayar hautoki,na kama utatoka ni kidogo saaana ,,kingine anapata maumivu wakati wa tendo na tumbo kumsumbua chini ya kitovu,,
Nb; UTI huwa tunatibiwa wote kwa ufasaha lakin tatzo semultaneously repeatin), naombeni kuelewesha kwa assumption hizo shida inaweza kuwa ni nn?,
Naomba majibu kama mtajali yaje yaje inbox tafadhali
 
Back
Top Bottom