Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Mr.George!, Hongera sn kwa kipaji cha ualimu,Swali; KIFAFA ni nini Inatibikaje Umri gani upatwa na KIFAFA Malyenge ni ugonjwa? Nitashukuru.
Hellow conductor,Its miss....Kifafa ni ugonjwa usojulikana hasa chanzo chake,Unaweza kuupata kutokana na kurithi,ugonjwa huu unasababisha mtu kupata seizures kutokana na disturbance kwenye cerebral functions na hali hii inaweza kuathiri pande zote mbili za ubongo .Ni kawaida kwa watoto kupatwa na ugonjwa huu unaanzia kwenye umri wa utoto na wazee wenye umri mkubwa.Kwa watoto huanza na kupatwa na homa ya degedege.
Dalili zake zimegawanyika katika makundi makubwa mawili nayo ni Generalized seizures ambapo seizures zinaathiri pande zote mbili za ubongo na Partial seizure ambapo seizure inaanza kwenye upande mmoja wa ubongo.Generalized seizures imegawanyika katika makundi manne madogo nayo ni tonic-clonic,atonic,myoclonic na absense.Tiba zipo tofauti kutokana na aina ya kifafa ulichonacho.Kuna tiba ya kuzuia seizures,na interior rendering.
Partial seizure
First choice drugsSecond choice drugsThird choice or additional treatment
With and without consiousnessCarbamazepin
Lamotrigin
Levetiracetam
Valproat
Topiramat
Gabapentin
Pregabalin
Fenytoin
Felbamat
Retigabin
Eslicarbazepin
Vigabatrin
Perampanel
Generalized seizure
Tonic-clonicValproat
Lamotrigin
Carbamazepin
Topiramat
Levetiracetam
Fenytoin
MyoclonicValproatLevetiracetam
Topiramat
Lamotrigin
Clonazepam
AbsenseValproatLamotriginTopiramat
Felbamat
Rufinamid
 
Dr habari?
Nina mke wangu huwa akisimama mda mrefu (1hr) miguu inavimba au hata kama akikaa muda mrefu miguu inavimba alishawai kwenda hospital akapima presha akaambiwa hana ila bado tatizo analo shida nin hapo Dr?
 
Doctor ninaomba kujua ni dawa gani ya kuondoa mba wa ngozi mwili mzima!?
 
Dr. Tunashukuru sana kwa msaada wako hapa jamvini kiukwel inatusaidia watu wengi sana..Sorry bawasiri ikiwasha sana kuna dawa ya kuweza kupaka au kufanya isiwashe?Na nini matibabu haswa ya kuondoa kabisa bawasiri au hemmoroids pls
 
Dr habari?
Nina mke wangu huwa akisimama mda mrefu (1hr) miguu inavimba au hata kama akikaa muda mrefu miguu inavimba alishawai kwenda hospital akapima presha akaambiwa hana ila bado tatizo analo shida nin hapo Dr?
Akacheki Deep vein thrombosis!
 
Dr. Tunashukuru sana kwa msaada wako hapa jamvini kiukwel inatusaidia watu wengi sana..Sorry bawasiri ikiwasha sana kuna dawa ya kuweza kupaka au kufanya isiwashe?Na nini matibabu haswa ya kuondoa kabisa bawasiri au hemmoroids pls
Rudi post 813 ukurasa wa 41!
 
Akacheki Deep vein thrombosis!

Nashukuru kwa elimu unayotupatia na ufumbuzi kwa yale yanayotusibu kiafya. Ndugu mm nimekuwa nasumbuliwa na kipandauso(as commonly known) i.e kuumwa kwa kichwa hasa paji la uso hadi kwenye mashvu upande wa kulia na kulazimika muda wote niwe nimefumba macho. Nilifanya vipimo ila nilipewa dawa mbalimbali na kushauriwa ninunue miwani(kipindi hicho nikiwa nasoma). Lakini ugonjwa huu ulkuwa ukijitokeza bada ya mrefu kidogo. Na kipindi unapojitokeza dawa ya kunitibu ni HEDEX na si vinginevo. Ninachojiuliza ni:
- je! hamna dawa maalum ya kumaliza tatizo hili?
- je, hedex ninavyozitumia kila ninapopatwa na tatizo hili haziwezi kuniletea madhara mwilini?
- ni nini ushauri wako kwangu kuhusiana nakadhia hii?
 
Dkt mungu akulinde uzidi tusaidia, Samahim Dr nasumbuliwa sana na Bawasili sijui dawa gani yaweza nisaidia hili tatizo.
 
Nashukuru kwa elimu unayotupatia na ufumbuzi kwa yale yanayotusibu kiafya. Ndugu mm nimekuwa nasumbuliwa na kipandauso(as commonly known) i.e kuumwa kwa kichwa hasa paji la uso hadi kwenye mashvu upande wa kulia na kulazimika muda wote niwe nimefumba macho. Nilifanya vipimo ila nilipewa dawa mbalimbali na kushauriwa ninunue miwani(kipindi hicho nikiwa nasoma). Lakini ugonjwa huu ulkuwa ukijitokeza bada ya mrefu kidogo. Na kipindi unapojitokeza dawa ya kunitibu ni HEDEX na si vinginevo. Ninachojiuliza ni:
- je! hamna dawa maalum ya kumaliza tatizo hili?
- je, hedex ninavyozitumia kila ninapopatwa na tatizo hili haziwezi kuniletea madhara mwilini?
- ni nini ushauri wako kwangu kuhusiana nakadhia hii?

Hellow mkuu ngalyas_t ugonjwa wako kitaaluma unaitwa migraine.
Ugonjwa huu chanzo chake maalumu hakijulikani lakini inasemekana unasababishwa na kutanuka /vasoconstriction ya mishipa iliyopo kwenye ubongo.Ni kawaida ukipatwa na migraine kuanza na aura kati ya dakika 5-20 na inakuwa chini ya dakika 60 mfano kwa baadhi ya watu macho kuwa mazito na kuchoka,wengine huhisi kama mikono kama inachomachoma na kufa ganzi,kizunguzungu au hata kushindwa kuongea.Kichefchef na kutapika pia huweza kutokea.Baada ya aura yanakuja maumivu ya kichwa kati ya masaa 4-72.Maumivu haya yapo tofauti kutoka kwa mtu na mtu.Wengine huumwa baadhi ya sehem za kichwa na wengine huumwa na kichwa kizima.Migraine inakuwa triggered na vitu tofauti kimoja wapo ni stress,kutopata usingizi wa kutosha,pombe,hedhi au baadhi ya vyakula.Ni muhimu ukitibu ugonjwa huu ule dawa pale unapoona aura inaanza yaani mfano macho kuwa mazito,hasa dawa ya kundi la triptanes.Ukichelewa kula dawa hazina manufaa.
Chaguo la kwanza la dawa ni painkillers za kawaida kama Paracetamol au NSAID´s ibuprofen/aspirin/naproxen/cataflam.
Chaguo la pili ni TRIPTANES(selective 5HT-receptoragonists).Hizi zipo za aina tofauti inayotumika sana ni sumatriptan/imigran nyingenezo ni zolmitriptan,eletriptan,rizatriptan,almotriptan.Betablocker kama pranolol pia inaweza kutumika kama prophylaxis method ya kutibu migraine.
Tukirudi kwenye swali lako sasa,hedex(paracetamol) haina madhara ukitumia muda mrefu as long as huimisuse.Kula mara kwa mara unapooumwa na kichwa hakuna shida.Kila la kheri.
Cc Mkoroshokigoli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom