Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Hili tatizo la kuwa na kama michubuko kwenye ulimi (kuwa/kuhisi na kama muwasho flani wakati wa kula hasa dagaa) sababu yake ni ipi na tiba ni ipi? With thanks giving heart
Burning tongue syndrome/idiopathic glossopyrosis
ndio tatizo ulilokuwa nalo,unajua chanzo cha tatizo lako ni vyema ukiepuka kula dagaa.Ingelikuwa hujui chanzo cha tatizo lako ningelisema linaweza kusababishwa na vitu vingine kama upungufu wa Vitamin B na madini ya chuma mwilini,Ukavu kwenye mdomo kutokana na matumizi ya baadhi ya dawa,inflammation kwenye ulimi,allergic reaction ya baadhi ya vyakula,hormones unbalance n.k
 
Dr tumbo limekuwa likiunguruma sana hususani wakati wa asubuhi (alfajiri) hadi nakusa raha madaktari wamekuwa wananiambia ni minyoo nimetumia dawa hadi za asili sijapata suluhisho naomba msaada dr.
 
Burning tongue syndrome/idiopathic glossopyrosis
ndio tatizo ulilokuwa nalo,unajua chanzo cha tatizo lako ni vyema ukiepuka kula dagaa.Ingelikuwa hujui chanzo cha tatizo lako ningelisema linaweza kusababishwa na vitu vingine kama upungufu wa Vitamin B na madini ya chuma mwilini,Ukavu kwenye mdomo kutokana na matumizi ya baadhi ya dawa,inflammation kwenye ulimi,allergic reaction ya baadhi ya vyakula,hormones unbalance n.k

Tatizo limeanza mara baada ya kubadilisha mazingira mwanzo wala si dagaa, nimekua nikitumia dagaa bila tatizo, lakini nilivyobadilisha mazingira ndipo lilipoanza.

It feels pain mara nyingi wakati wa asubuhi ninapoamka. Plus lips nazo huwa zinauma japo si sana.

Barikiwa kwa msaada uutoao.
 
naomba kujuzwa side effect za meno bandia. na kama zipo namna tofauti za meno bandia which one is the best na ni wapi naweza pata huduma hii kwa hapa dar? natanguliza shukrani
 
dr tatizo langu niliumwa malaria nikachomwa sindano kwenye makalio inauma yapata mwezi sasa nakusababisha msuli kukaza nakuuma mno kiasi cha kushindwa kukaa
 
doctor mimi nikinywa maji daaba ya kama saa 1au 2 naenda haja ndogo mara kwa mara kulingana na kiasi cha maji nilichotumia je hii ni kawaida au kuna tatizo?
 
Doctor mie nina tatizo la kusikia kichefu chefu Wakt wa period pia mgogoro kuuma ili tatzo limeanza siku iz tu hosp nilienda nikaambiwa mirija ya uzazi imeziba na kwa sas nahitaji mtot sana doctor ni tiba gan ya mirija ya uzazi tofaut na operation nisaidie doctor ninahitaj san mtot NB.nimeolewa
 
Hellow alec4ril,
Una tatizo linaitwa "tinnitus",ni kusikia kwa sauti zenye milio tofauti kwenye sikio bila ya kuhallucinate.Hizo sauti zinaweza kuwa na intensity tofauti na zipo tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwengine.Huu si ugonjwa bali ni dalili ya vitu tofauti kama mwanzo wa kupoteza uwezo wako wa kusikia,una majeraha kwenye sikio au hauna msukumo mzuri wa damu kwenye eneo la ndani la sikio.Kama tatizo lako lipo zaidi ya miezi 6 ni "chronic tinnitus" ambayo inasababishwa na majeraha ndani ya sikio ambayo hupelekea kupoteza uwezo wako wa kusikia.Nakushauri ukaonane na specialist wa sikio ili igunulike chanzo cha hili tatizo lako ili upate tiba sahihi/ushauri nasaha.Kila la kheri.

Asante sana Doctor kwa ushauri,ngoja nitafute specialist mapema.
 
Last edited by a moderator:
Helo Dr Nina tatizo.LA kutoka majipu kwenye kwapa tumboni maziwa mapajani ,nshatumia dawa nyingi kama antbiotic,antallegy lkn yanaenda yanarudi je nifanyeje ,Dr aliniambia damu yangu ina sukari.nyingi.
 
Kuna tiba tofauti za psoriasis mkuu inategemea una psoriasis ya wapi kichwani,mwilini....
  1. VITAMIN D[SUB]3 [/SUB]ANALOGUES (CALPOSITROL na CALSITRIOL)
  2. ANTRACEN DERIVATIVES(ditranol)
  3. RETIONOIDS(Acitretin)
  4. PUVA-THERAPY
  5. GLUCOCORTIOCOIDS

Naomba unisaidie tiba ya kuzuia kutokwa na vijinyama(rectum) wakati wa haja kubwa (BAWASIRI).
 
Doctor mimi tatizo lango ni presha ya kupanda ambayo imenipata baada ya kutumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume"CUPID"kabla ya hapo ckuwa na tatizo hilo.nimekwenda kupima hospitl majibu yametoka cna kisukari wala lehemu lakini moyo unanisumbua sana
Presha hupanda ghafla lakini hata dakika moja haifiki inarudi kua kawaida.ushauri wa doctor anasema ni hormones imbalance kwa sababu hivyo vidonge kazi yake ni kuboost hormones.umri wangu ni miaka 48.nisaidie tafadhali moyo unanitesa saana hata kuendesha gari nimeacha kwa kuogopa kupata ajali.masuala ya kitandani niko vizuri tu hata mara 3 kwa ucku mmoja ninaweza kufanya.
 
Hizi dawa za mseto zimeandikwa day1 zimekaa 4, day2 zimekaa 4 na kuendelea lakini hosp. Wanasema unameza nne kwa mara moja, maana yake kwa siku 8, sijaelewa hapo doctor
 
Habari doctor, ninaumwa NGIRI YA NDANI je kuna dawa ya uhakika ya hospitali? Maana nimeshatumia za asili bila mafanikio kwa miaka mingi
 
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar wala si mfanyabiashara wa madawa na sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.

Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa hiki nitacho kieleza, almost FREE!

Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua akitoswa na kila binti.

siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.

yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma na aliponionesha maumbile yake nlishangaa kuona udogo ule.

Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa sana.

Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili. Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule.

Nlivofika kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi.

ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya. Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala. Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia n kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na imejaa na inanguvu.

Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO!
AHSANTENI
 
Habari Mtaalamu.

Napenda kufahamu ni Anti - Fungal gani nzuri kwa ngozi .

Maana nyingine Zinachubua .

(kwa ugonjwa Wa Mba wa Ngozi )
 
Habari zenu madocta,mke wangu ni mjamzito miezi 3,ameenda hospital kupima kaambiwa anaupungufu wa damu kidogo,mkojo mchafu na anafungus,dawa alizoandikiwa ni metronidazole 2x3, ampicilin & cloxacillin (spamclox) 1x3, Ferrotone 1x1, Na labesten 1x2,je ni salama kwake kunywa dawa zote kwa pamoja??na je hizi dawa hazina madhara kwa mjamzito?Asante sana.
 
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar
wala si mfanyabiashara wa madawa na
sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa
manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa
hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja
alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na
wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua
akitoswa na kila binti.
siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba
anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA
HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.
yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu
bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma
na aliponionesha maumbile yake nlishangaa
kuona udogo ule.
Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa
nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu
wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto
hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa
sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili.
Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa
niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule
nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia
kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika
kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache
sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri
nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya.
Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana
makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.
Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft
kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na
imejaa na inanguvu.
Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO!
AHSANTENI

Nitafute kwa namba 0655951332 nikupe aelekezo.
 
Nitafute kwa namba 0655951332 nikupe aelekezo.

jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema, wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni
madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya
jumla.

Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti.

Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee! Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la huo mmea hata uje na bilioni.
 
Back
Top Bottom