Msinjila89
Member
- Aug 4, 2019
- 14
- 7
Habari doctor. Naomba kufahamishwa ambayo nipo nayo gizani ili nipate mwangaHellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Rule number one.Habari doctor. Naomba kufahamishwa ambayo nipo nayo gizani ili nipate mwanga
Nimeanza kutumia dawa za ARV miezi miwili iliyo pita. Na nivema nimeona niwakilishe hapa ili nipate kujua majibu yanayo nisumbua
1 kwanini mtumiaji wa dawa za ARV pombe anakunywa kama kawaida? Na wengine wanakunywa hata ndani ya muda wake?
2 mimi ni mwembamba lakini baada ya kuanza kutumia kila mwezi kilo zinaongezeka?
3 kuna taarifa nilikuwa naangalia youtube kuhusu ukimwi, walisema matumizi ya ARV baada ya miaka 15 miguu inaanza kusumbu
4 nguvu ya ARV haileti madhara kwa baadhi ya seli mwilini
5 kuna wagonjwa wengine dawa zinawakataa why?
6 Je nikizingatia chakula ipasavyo na nikaacha kutumia vidonge afya yangu itashuka?
Naomba kufahamishwa tiba ya Oral candidiasis.
Naomba kujua dawa ya fizi zinazotoa damu sana
samahani Mimi Nina mdogo wangu wa kiume ana tatizo moja ambalo tunalihusisha na shida Ya vidonda vYa tumbo japo hatuna uhakika..Amekua anatoa harufu m baya sana kutokea katika njia yake ya haja kubwa,na anadai hua inakua in a jot o Kali sana n.a. hutoka m uda wote je hii imekaaje mtaalamu?
Habari doctor. Naomba kufahamishwa ambayo nipo nayo gizani ili nipate mwanga
Nimeanza kutumia dawa za ARV miezi miwili iliyo pita. Na nivema nimeona niwakilishe hapa ili nipate kujua majibu yanayo nisumbua
1 kwanini mtumiaji wa dawa za ARV pombe anakunywa kama kawaida? Na wengine wanakunywa hata ndani ya muda wake?
2 mimi ni mwembamba lakini baada ya kuanza kutumia kila mwezi kilo zinaongezeka?
3 kuna taarifa nilikuwa naangalia youtube kuhusu ukimwi, walisema matumizi ya ARV baada ya miaka 15 miguu inaanza kusumbu
4 nguvu ya ARV haileti madhara kwa baadhi ya seli mwilini
5 kuna wagonjwa wengine dawa zinawakataa why?
6 Je nikizingatia chakula ipasavyo na nikaacha kutumia vidonge afya yangu itashuka?
Hello Dr. Habar? Nina shida for almost a month nasikia sikio likiunguruma na muda mwingine linawasha sana na hutokea sana usiku na sijui shida nini. Naomba msaada wako plz......?
habari za sa hizi dr..
Ninaomba ushauri juu ya hii hali yangu.
Sijui nina sumbhliwa na nini, lkn ninajihisi kizunguzungu, vile vile napatwa na woga sana, hofu inanizidi hasa ninapotaka kuongea mambo ya msingi.
Vile vile napatwa na maumivu ya kifua sometyme, maumivu ya misuli ya kwenye uume na vile vile najihis maumuvi kwa muda flan kwenye sehem za kibofu na milija yake..lakin pia ninapata maumivu sana kwenye sehemu ya chini ya mgongo.
Ni mwezi sasa nina hii shdah.
Sijui ni ugojwa gan.,?!
Dr naomba msaada
natangulisha shukran zang
Tatizo la korodani moja kusinyaa na kuwa kama kigololi na jingine kuwa kawaida je inasababishwa na nini? Je kuna madhara mbeleni?
hello kama umepata dawa ya uhakika tujulishane lakn pia kama hujapata dawa bas mm pia nlikua na tatzo la chunusi(ACNE) lakn katika kutafiti nkagundua kwamba chanzo cha chunus zle ni allergy......sasa hyo allergy nkagundua inasababishwa na kula maharage....nkaacha kula maharage na chunusi zimepungua sana almost zimeishaNasumbuliwa na chunusi sugu.
Nina umri wa miaka 31.
Nimejaribu kubadiri dawa za tube za kupaka pamoja na sabuni lakn bado chunusi kubwakubwa zinazidi,wengine wanasema labda kuna uchafu kwenye damu!
nimepima vipimo vyote ikiwemo HIV hakuna!
Naomba ushauri..
Natanguliza shukrani!
Una upungufu wa vitamini jitaidi kula matunda hasa machungwa na majimeeeng tatzo likizid muone dr maranyingi pia macho uwanaukungu kwa mbaliHabar Doctor,,,,mm nina tatizo la lips ya chini kugeuka kuwa nyekundu kama inababuka kama wale watu wanaokunywa gongo au pombe kali,ilianza kidogo kidogo lkn sasa hivi inakuwa kama inatka kwenda kwenye lip yote ya chini....nimeenda hosp wameniambia ni ukosefu wa vitamin b and natumia hizo supplements za vitamin b,,,tatizo linaondoka japo kwa speed ndogo sana.....naomba ushaur nifanye nn