Nakaribia kupata hisia za kumuoa lakini anazingua

Nakaribia kupata hisia za kumuoa lakini anazingua

yaani unahisia za kuoa at the same time unaaga kwa kheri. nashindwa kuelewa
Unapoaga mahali ambapo unapenda au unapenda kuwepo huwa unakua dilemma ,no black and white kinda decision( grey scale decision)
 
Yaani kwa jinsi ulivyo jinga nmeshindwa ht kumalizia kusoma msg yako, sidhan km ushawahi ht kua na demu yaan vyote unavyofanya hivo km kuna demu atakukubali huyo malaya wewe ni jinga LA kuchukulia hela tu sasa do opposite kwa kukusaidia tu
 
Kama kweli ulitaja "chupi" ndii maana hukupata A
 
Back
Top Bottom