BLISS
Member
- Mar 31, 2011
- 54
- 12
- Thread starter
- #21
jamani nashukuru wote kwa ushauri mzuri yaani nimefarijika sana sana, mmenipa imani ya kusimamia ili nipambane na huyu ibilisi wa uoga, maana ananionea sana, nitafanya maombi sana na mungu atanisaidia kujifungua salama, pia nahitaji maombi yenu nyote..
P,DIDY , asante umenifanya nijenge imani kubwa sana kwa kusimama katika maombi, mungu akubariki sana usisahau kuniombea plz plz, nayahitaji sana maombi yako, usisahau kuniombea...
mbarikiwe wote kwa kunitia moyo...