Nakaribia kumuacha

Nakaribia kumuacha

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
655
Kiiiiiila siku yeye ni mizinga tu mara hivi kesho vile, kwakua nishammega sina chakupoteza.Yani ni bora ningemuajiri nijue moja kwamba natakiwa kumpa mshahara kila mwezi mana sio kwa mizinga hii.

Ngoja niwaachie wengine wakumbane na hii kadhia mana ni shida kwakweli.Mana huyu msichana nadhani anapaswa kuolewa na Bank ama Mpesa.
 
Nipe namba yake kama kweli,Naona majukumu yamekushinda,Hahahahahaha
 
Kama kweli anamuacha atoe namba hapaa
Hahahahahahaha! Sizani kama atatoa,ijapokuwa kuna baadhi ya wanawake unaweza kuwafanyia kila kitu lakini bado wakakuona huna unachowafanyia.Tumuache ashike hamsini zake.wapo watakaochukua nafasi ya usukani kumsaidia kuendesha.
 
anatikisa kiberiti
 
Ni-pm namba yake nikusaidie kumwacha

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Naomba namba yake ninaweza nikam_badilisha kuacha kuomba omba hela..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom