Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Usikaribie kukata tamaaHabarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.
Aisee yule demu wako aliyekudanganya ameishia la saba mmemalizanaje sasa?! Tunasubiri mrejesho kule!tatizo kugawana mali sasa
Aisee yule demu wako aliyekudanganya ameishia la saba mmemalizanaje sasa?! Tunasubiri mrejesho kule!
Kama mkeo amekwisha amua kwamba hataki kuendelea kuishi na wewe nashauri ukubaliane na uamuzi wake kisha ujifunze kumove on.Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto watatu. Lakini mapenzi kwa sasa naweza sema yanakwenda mlama wife amekuwa anacheat niligundua mwaka juzi na nikatefa mtego na kufanikiwa kuthibitisha kwa aibu aliamua ni kama uhusiano wetu uishe maana alitamka mbele za watu kwamba hanifaham na akarudi kwa wazazi, Niliwaeleza hali halisi na sikutaka kuachana naye baadae walimshauri akarudi nyumbani na maisha yakaendelea baada ya mwaka mmoja nimegundua anacheat tena na nimethibisha na nimekaa na huyo jamaa kasema waliahidiana kuona kwa sababu wife hana amani kwenye ndoa yake.hivyo ataachana na mimi akaishi na jamaa. Mtoto wa kwanza ana miaka 9 na wa pili wana 1 yr. Ushauri wenu tafadhali.