Nakaribia kuhitimu chuo ila sijui kuhusu chochote nilichosomea

Naona chuo umeenda kuuza sura tuuuu.... Pole yko miaka yako ya kuwa chuo ni sawa na bure
 
We jamaa kosa si lako Bali ni mfumo tulionao sio rafiki na sio fikirishi. Kenya au Uganda ukimaliza high school wewe unaweza kupambana kimaisha, hapa kwetu ukimaliza degree unakuwa darasa la 7.

Juzi alikuja jamaa hapa Ujeruman kutokea bongo alikuja kuomba kazi hapa nilipo Mimi na unfortunately hakujua kama mi pia ni mbongo nikamwambia andika barua lete kesho saa4.

Cha kusgmhangaza kaja SAA 12pm na maneno kibao nkamwambia umeshafeli usailhili was kwanza, sasa kuhusu alichoandika mle kwenye barua ni aibu kukisema hapa. Dah

Ushauri....
Hakikisheni mnaitoa CCm 2020 maana huyu ndio adui number moja hapo Tanzania
 
Ndo elimu yetu hiyo kibongobongo, maliza uje kita tupo wengi tu.
 
pole, umesomea chuo gani na course gani labda?
 
Mashamba yako mengi tu Mkuu wangu,
Asilimia kubwa ya ardhi ya tanzania ni Pori na haijatumika
 
Kuna jamaa alikuja na vyeti vimesimamia kucha lakini baada ya kupewa kazi ofisini haki ya mungu kichwani ilikuwa sifuri.Hajui kitu chochote na hii naona ipo kwa vijana wetu wengi na sababu ni wanasoma ili wafaulu mitihani tu.wanakariri kila kitu.ubunifu unakuwa haupo na hata kama ulikuwepo unakuwa umeuliwa.UKIWA NA MTOTO MWACHE AEWE NA UBUNIFU KUANZIA MWANZO NA KUSOMA VITABU KWA WINGI KULIKO KUANGALIA TV KUANZIA ASUBUHI MPAKA JIONI
 
Ukipata Cheti unganisha na kadi ya chama Umewin ,, Mkuu Upo CBE campas gan
 
Sasa una wasiwasi wa nini? Kama umepita huko kote kwa kukariri hata kazi ukipewa wewe kariri tu. Wewe kariri job instructions and requirements and YOU WILL BE FINE!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…