Nakala ya mkataba wa Niyonzima

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Kiambatanisho cha nakala ya mkataba wa Haruna Niyonzima kipengele cha kuvunja mkataba kama kinavyosemeka.

Kwa sababu walizozitoa Yanga na mkataba unavyosomeka, je wako sawa?

Au walikurupuka ndio maana mpaka sasa hawajampa barua ya kuvunja nae mkataba?

Attachment
 
Attachments

  • 1452065232739.jpg
    1452065232739.jpg
    65.6 KB · Views: 87
Last edited by a moderator:
Kiambatanisho cha nakala ya mkataba wa Haruna Niyonzima kipengele cha kuvunja mkataba kama kinavyosemeka.

Kwa sababu walizozitoa Yanga na mkataba unavyosomeka, je wako sawa?

Au walikurupuka ndio maana mpaka sasa hawajampa barua ya kuvunja nae mkataba?

Sihitaji kusoma mkataba ila nakuhakikishia Yanga wamekosea angalau kosa moja katika haya mawili

1. Kudai Niyonzima kavunja mkataba
2. Kudai fidia

Kubali kataa ila mwisho utakuja kukubaliana na mimi Ynga haiwezi kushinda kesi zote kati ya hizo mbili. Ila ni ukweli Niyonzima amefanya kosa kubwa pia kwa kutokufika kazini kwa wakati, lakini kosa hili na muda aliochelewa halipelekei kuvunja mkataba na kulipa fidia hapo hapo.
 
Back
Top Bottom