PERECY
Member
- Jan 11, 2012
- 29
- 16
WanaJF,
Namwomba Mheshimiwa Zitto, atufanyie scan fomu yenye majina na sahihi halisi za wabunge waliounga mkono hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, na isambazwe majimboni ili tujue vizuri ni mbunge wa jimbo gani aliunga mkono, na mbunge gani hakuunga mkono, ili wale ambao hawakuunga mkono, wakija majimboni kwetu, tuweze kuwauliza palepale na kuwaambia kwamba kuanzia siku hiyo hutuwatambui kama ni wabunge halali kwani wanashindwa kuonyesha kwa vitendo kulinda maslahi yetu.
Tufike mahali tufanye maamuzi ya uhakika! Hizi mbwembwe hazitatufikisha mahali.