Kwa fulana aliyovaa mjinga ambaye hajaelimishwa,?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] ila mzazi ni mzazi tuu hata awe mwiziKuipenda Tanzania ni sawa na kumpenda mke/mume uliyemfumania
Wapiga dili ni wale wanaoita pesa VIJISENTIWale walio zoea hela za mteremko na wapiga dili badala ya kufanya kazi, Ndiyo wanakuwa na mawazo kama hayo
wala hakuna amani tena natamani vita ianze nishajichokea bugudha za ccm zinanichosha kila uchao maisha hayaleweki na bado wanatuletea ubabe tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaVumilieni tu ndugu zangu mtakula amani hiyo inayohubiriwa kila siku