Najutia kila naefanya nae tendo anabeba ujauzito..

Kwanza nakupongeza sana kwa kutokutumia Kondomu.

Hakuna kitu kinanikera kama hizi Condoms, huwa naamini kutumia condom ni dhambi kuliko uzinzi!
Inategemea unajisaidia wapi mkuu, kuingia public toilet bila viatu hata mwenyewe utasikia kinyaa.
 
Hiyo picha uliyoiattach' imenifanya nikonclude kwamba hii story ni fix..

chai ya alasiri.
 
Sijui niite ni bahati au nuksi au malipo ni hapa hapa duniani au ni pepo la ngono nimekua katika wakati mgumu sana kabla sijaoa nilibahatika nikiwa na 20 years kupata mtoto nilipofikisha 25 nilioa hapa nilikaa muda mrefu sana na mke bila yeye kupata mimba mwaka wa tatu uzalendo ulinishinda nikatoka nje nikampa dem mimba akajifungua..huyu wa ndani mpaka unaisha mwaka wa tano alikua bado kubeba mimba tukiwa tunaenda mwaka wa sita akafanikiwa kubeba mimba kiukwel nilikua na kidem nje baada ya wife kupima akakuta ana mimba ya mwezi kale Kadem nako kakawa kana mimba tena ..kutokana na kero za mimba home kukawa hakukaliki nilipohamishwa kikazi ikaenda tanga huko nikapata kedem tukasex akabeba tena mimba nikangangania atoe akagoma nikampotezea nikawa na mwingine tena juzi kapima ana mimba hii kitu inaniumiza kichwa sana kwa kweli hili ni pepo au ni nn? Naanza kupata wasiwas au nihame mtandao nijiexpress your self nn?
d2e259ac00296b687e156ebab348c740.jpg
Nipe siri ya urembo mkuu na mm nataka kuwatungua kama watano mwaka ujao
 
Kuna possibility kubwa wengine watakuwa wanakutisha tu mzigo Kwa sababu wabakuona unayo job
 
Pole. Inawezekana unabambikiziwa ukiangalia na maisha yalivyo kwa Dada zetu. Yawezekana hata mkeo alikuvumilia ila akapta ushauri atoke kidogo ili akuridhishe. Kapime mbegu. zako ukikuta uko safi jaribu na DNA usije kulea asiye wako. Pia uache kusaliti mkeo.
Probably
 
Sijui niite ni bahati au nuksi au malipo ni hapa hapa duniani au ni pepo la ngono nimekua katika wakati mgumu sana kabla sijaoa nilibahatika nikiwa na 20 years kupata mtoto nilipofikisha 25 nilioa hapa nilikaa muda mrefu sana na mke bila yeye kupata mimba mwaka wa tatu uzalendo ulinishinda nikatoka nje nikampa dem mimba akajifungua..huyu wa ndani mpaka unaisha mwaka wa tano alikua bado kubeba mimba tukiwa tunaenda mwaka wa sita akafanikiwa kubeba mimba kiukwel nilikua na kidem nje baada ya wife kupima akakuta ana mimba ya mwezi kale Kadem nako kakawa kana mimba tena ..kutokana na kero za mimba home kukawa hakukaliki nilipohamishwa kikazi ikaenda tanga huko nikapata kedem tukasex akabeba tena mimba nikangangania atoe akagoma nikampotezea nikawa na mwingine tena juzi kapima ana mimba hii kitu inaniumiza kichwa sana kwa kweli hili ni pepo au ni nn? Naanza kupata wasiwas au nihame mtandao nijiexpress your self nn?
d2e259ac00296b687e156ebab348c740.jpg
badil mtandao mkuu
 
Kwa
ni Mkulu alitoa idadi ya matofali ya kufyatua? Fanya Kazi kuna mtu atasomesha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom