Najutaaa kumfahamu JK!

kama kweli tuna uchungu na nchi, hizo five years lazima zituume sana!
 
Kura kwa Slaa trh 31 acheni maneno mingi, ongea na ndugu zako wa mjini vijijini waelimishe juu ya kura yao wasi ichezee kwa kumpa mtu hasiyefaa..
 
Kura kwa Slaa trh 31 acheni maneno mingi, ongea na ndugu zako wa mjini vijijini waelimishe juu ya kura yao wasi ichezee kwa kumpa mtu hasiyefaa..

ujumbe umefika, kila mtu angalau awashawishi watu watano hivi
 
Mbona siku ya uchaguzi haifiki ili nikamwadhibu huyu jamaa yetu kwa kura yangu moja nami nikafarajika kidogo wakati nikiilinda hiyo kura mita 100 kutoka kwenye kituo changu cha kupiga kura?
 
Face book ya JK. angalia watu wanavyompa live kwenye private yake. hahahaha
 
kwa kweli mda wa kuiaga ccm umeshawadia, 2015 ndo wasihesabu kabisa cz kila jimbo litakua na kina zito 50 hivi!!!
 
Pipooooooooooooooooooooooooooozzzzz!!!!!!!!


poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer i mean NGUVU YA UMMA

CHAGUA CHADEMA

CHAGUA SLAA

KWA UKOMBOZI THABITI WA TANZANIA
 
Yaani mtu anaamka na kuja na kijibandiko kama haka.... Kama sio Hangover basi kaishiwa!

Issue ni kwamba watu wanakoseshwa usingizi na mafisadi maana hakuna future na kwa hiyo hangover inakuwepo kwa sababu hiyo. So uko sahihi kabisa na njia pekee ya kutibu ili tatizo ni kumtupia vilago Kuhani Mkuu wa Mafisadi...mtaje mwenyewe maana nyie ni washirika
 
Yaani mtu anaamka na kuja na kijibandiko kama haka.... Kama sio Hangover basi kaishiwa!
nadhani una hangover wewe mwenyewe au ndo mzuka wa bhangi ndivyo unavyokupelekesha?
jaribu maji wewe NTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…