Najuta sana

Kwa nini hukuachana naye pale alipokwambia kuwa yule mzee ni mume wake wa ndoa? Badala yake unakimbia kutoka kazini kwenda nyumbani kumkunjakunja, tena una haraka kiadi kwamba unaona gari haiendi? Na pona yako ni kwenda kununua chakula baada ya kujilikisha mali ya mzee fadha hausi. Ila nadhani kwamba kwa kuwa simu yako iko hewani wajuzi wanaweza kukufikia tu.
JITAFAKARI
Hivi umejuaje kwamba ana RB yako maana nukuu uliyoitaja ya ujumbe aliokutumia hakutaja neno RB
 
Huenda ikawa ni stori ya kufikirika pia..... sema mi nasoma maana huwa kuna uhalisia kwa maisha ya sasa.
 
Mdig0 Usirudi Hapa nyumbani,Kimbia mbali uwezavy0 Mana Mume wangu amejua kila kitu kuhusu mimi na wewe na Ushahidi wa vide0 ana0,Amenipiga sana ila kasema Haniachi ila wewe Ndi0 Utakuwa mke mwenzangu,Kimbia...
😅😅

Ka script hapo kalizingua kidogo...

Ungetuambia ulienda nunua umeme so ukabeba simu...

Alafu ungetuambia kwamba kulikuwa na CCTV ila wote mlikuwa washamba hamkujua...

Anyways..💯💯
 
😅😅

Ka script hapo kalizingua kidogo...

Ungetuambia ulienda nunua umeme so ukabeba simu...

Alafu ungetuambia kwamba kulikuwa na CCTV ila wote mlikuwa washamba hamkujua...

Anyways..💯💯
Kaka we unaweza weka simu yak0 ndani na mwanamke then we ukaenda njee??kama we unaweza mi huwa siwezi....p0p0te nilip0 simu ip0...

Cctv sikuzi0na kabisaaa,kuna zile taa za camera nadhani ndio zip0...
 
Ili isiwe chai nilitakiwa kusema Wale jamaa walinilaa tak0??Asante kwa ushauri..
 
NB:

#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…