Najuta sana

Duh nimecheka Sana[emoji1787] hapo kwny wanafanya mazoezi uwanjani[emoji1787]aisee mkuu malaika wako walinzi wa moto, piga goti umshukuru Mungu
Jamaa ana chale kali balaa na kama siyo chale majini/malaika wake wananguvu za ajabu huwezi kuamini, hii ni miujiza ya mungu na nguvu zisizoonekana....

Huyu jamaa allikuwa afanyiwe kitu kibaya kama mauaji ila siku yake haikupangwa na walizi wake walimsimamia kumtoa pale nyumbani kisha kumuonesha jinsi gani ameepuka msala mzito.....

hayo ndiyo maisha ya mwanadamu hupangwa na kupitia majaribu na vikwazo vingi sana. Hii stori hata kama ni chai wakuu amini huwa inatokea real kwa watu dunia hii
 
So sad..
 

Utoto wakati analinda mali yake?.
 
Kabisa Dah inasisimua nyie,Mungu anampenda sana,..ila penzi la wiz huwa tamu hilo[emoji38]ila majuto yake ndio kipengele
 
Antonnia baby zu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…