Najuta sana

Lakini huyo mzee yote hayo alifanya ili iweje?!,kwahiyo hao mabinti zake watazeekea hapo nyumban
Watu wa pwani wana shida ndio maana hata maendeleo yanawakimbia. Yani wanaendekeza ujinga mwanaume akipata hela anarudi nyumbani anacha na kazi mpaka ziishe ndo mke wake anamfukuza kama mbwa
 
Maguta ya alizeti bei yake asaivi haishikiki.
 
Watu wa pwani wana shida ndio maana hata maendeleo yanawakimbia. Yani wanaendekeza ujinga mwanaume akipata hela anarudi nyumbani anacha na kazi mpaka ziishe ndo mke wake anamfukuza kama mbwa
Mzee anawalinda mabinti zake dhidi ya wahuni.
Kama umempenda binti, ongea naye. Akikubalia, nenda kwa mzee. Fuata taratibu zote na utakabidhiwa mke
 
Majamaa yametia kambi kwa mzee yako parking yanapasha na kukimbia kimbia huko nyumbani, aseee mkuu pole sana 😭😭 jikatae mjini mkuu.....

Mzee akidanji tu rudi mjini miaka 70 ya mzee ishayoyoma akiwa na 75 awezi kukusaka tena, watu wanauwa na kufanya matukio na wanapotea kusikojulikana, baadae wanarudi.....uende polisi wakati mzee ana mawe anaeza akasema RPC kula 10milion kijana aende kibla, mkuu achana na vyeti sijui mali zako.

Rudi kijijini kalime kaka au kimbia mjini mbali, pambana utafute nauli uende hata kwenu huko kilindi Tanga.

Kiufupi maisha yana down zake, wewe sepa mbali ujinusuru.
 
Mzee anawalinda mabinti zake dhidi ya wahuni.
Kama umempenda binti, ongea naye. Akikubalia, nenda kwa mzee. Fuata taratibu zote na utakabidhiwa mke
Binti wa namna hii wana shida sana. Unasikia zile story mtu akiwa kwenye siku zake akishika mazao shambani yananyauka ila wazungu wanapinga, sio kuwa si kweli. Huwa ni kwa sabab wengi wao wanamavit machafu mwilin kama hayo mausinga
 
Dah, yaani jamaa wanafanya mazoezi kabisa??
Nenda polisi, omba msaada wa kwenda kuchukua Mali zako. Though mzee anaweza kukushitaki na ukalipa fine kama ushahidi upo
 
Omba msaada Kwa mtu waende na polisi na RB wasembe unatafutwa , nawadai vitu vyako waseme tukichukua vitu tukapeleka polisi atakuja mwenyewe nakureport bila ya hivyo hatumkamati . So basi hiyo ndio Njia pekee ila usiendee huko hata iwejeb
 

Inafurahisha alaf inasikitisha ila shukuru Mungu alikunusuru na chips kuku ukatoka nje la sivyo wangekubamba huko sijui saiv ungekuw unahali gn!

unajua bora ukifumaniwa na mke wa mtu afadhali upigwe tu uachwe kuliko wazee wa ngwasuma wakupumulie kisogoni ni balaaa ht km itakuw sir yao lkn mwanaume kupumuliwa sio poa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…