Najuta sana

Ukuje huku ,Nakadori
 
Piga simu omba radhi ila kwa namba nyingine ambayo si yako.
mwambie ulikuwa hujui kama ni mkewe mwambie binti alikudanganya akasema yeye ni kaka yake.
Nenda na polisi chukua RB kafate vitu vyako ila usiende mwenyewe nenda na polisi na jamaa zako hata watatu.
 
Yaani hilo ni balaa zito mzee, ulichokosea na wanaume wengi wanachokosea nikutombea demu wa mtu nyumbani kwa mtu nowdays kamera kila kona mzee..... lodge za faragha zipo.

GPS kama zote mzee mtu yuko mbali ila deo analiona live bila chenga.....

Huyu mzee ashakuharibia mjini.....

Nenda kijijini tu mkuu......kama ni police labda nenda.
 
@Antonnia Valentina baby zu Demi mzabzab haya someni sasa mtoe ushauri
 
tafuta viongozi wa imani ya huyo mzee, waambie ukweli bila kificho watume wakakuombe msamaha, kajisalimishe polisi huko uwaambie ukweli ulicho fanya, lakini kuwa makini na polisi kama huyo mtu ana cheo kikubwa polisi watakutoa sadaka kwake na watakufanya atakacho waagiza...N.B pesa zinatafutwa, vyeti ukikaza baraza wanatoa vyeti vingine...hizo mali ulitafuta utapata tu nyingine acha kumtafuta huyo mtu
 
We jamaa nahisi nakufahamu.

Umeelezea vitu ninavyovifahamu.
 
 
Nenda Polisi kajisalimishe polisi toa taarifa na nenda na Polisi wenye Silaha kachukue vitu vyako weeh sema yule Binti ndio alikutongoza na alikuambia yule Mzee ni Mjomba wake hivyo hakukuambia kama ni mke wake angalizo Mzee atakuwa amedhamiria kulipa kisasi hivyo hakikisha hajui kabisa sehemu utakayoenda.
 
Na vumbi la kongo lipo ghetoni kwako,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…